Robo Fainali CAFCL: Simba Sc kukutana na Kaizer Chiefs

Robo Fainali CAFCL: Simba Sc kukutana na Kaizer Chiefs

Mi yangu nliitoa Asubuhi sababu nilikua sijui muda sahihi ndo mana nlitaka nipate notification kwa kila kitachoendelea na hizo zingine sijaziona
Kwani wewe huoni mkuu speed ya 5g ya watoa threads....??
 
Yanga ya south na simba [emoji3][emoji3]
Kule mosimane na klabu yake ya zamani[emoji3][emoji3]
 
Washabiki wa Simba tumeshajipa uhakika wa kuvuka robo.

Tusije kushangazwa tu.
 
Kaizer chief mashabiki wao wameanza kushangilia maana siku zote dua yao ilikua wanataka kukutana na Simba.
 
Back
Top Bottom