Robo Fainali CAFCL: Simba Sc kukutana na Kaizer Chiefs

Robo Fainali CAFCL: Simba Sc kukutana na Kaizer Chiefs

-Al Ahly SC vs Mamelod Sundowns
-Mc Alger vs Waydad Casablanca
-CR Belouizdad vs Esparance
-Kaizer Chiefs vs Simba SC

Game ya kufa na kupona ni ya Mamelodi na Ahly, hizi nyingine zinatabilika
Tabiri
 
Hizo mechi zinachezwa lini first leg?
Screenshot_20210430-174357_Chrome.jpg

Screenshot_20210430-174414_Chrome.jpg




🇦🇷🇦🇷🇦🇷🔥🔥
 
Chiefs kwa msimu huu mpaka sasa hawapo vizuri sana,ila juzi Kati hapa kampiga Sundowns 2-1 kwenye league yao,kwa hiyo Simba wanapaswa kuwa na mipango sahihi jinsi ya kuwamaliza hawa jamaa kuanzia kwenye first Leg!!

Lakini baba ee, imekua ahuweni tumepangwa na kaizer, tutapita kiulaini sana ukilinganisha na yale maaAlgeria mapande ya mtu, mbona yangetupiga. ..




🇦🇷🇦🇷🇦🇷🔥🔥
 
Wameanza na #CCC

Orlando Pirates Vs Raja Casablanca

Cs Sfaxien Vs Js Kabylie

Pyramids vs Enyimba

Coton Sports vs Asc Jaaraf

Yani hapo bingwa ashajulikana mchana kweupee.. ..mmoja kati ya hawa.. Raja Casablanca or Pyramids

Raja nawapa asilimia 85 kuondoka na kikombe



🇦🇷🇦🇷🇦🇷🔥🔥
 
Kaizer hao hao wa 9 kwenye msimamo wa ligi? Ni haohao waliofunga magoli 24 kwenye mechi 25 na kufungwa magoli 28?
Ni hao hao waliocheza mechi 9 za Mabingwa na kufunga magoli 5 tu huku wakifungwa 4?
Yaani hawa watakuwa futari.
 
Back
Top Bottom