Robo Fainali CAFCL: Simba Sc kukutana na Kaizer Chiefs

Robo Fainali CAFCL: Simba Sc kukutana na Kaizer Chiefs

CAF wanatarajia kuuchagua uwanja wa Mkapa kwa ajili ya fainali. Hivyo kwa uwanja huo Simba hajawahi kufungwa na mwarabu, hivyo tayari Bingwa anajulikana.

Mnyama ajiandae tu kucheza na Bayern club bingwa ya Dunia.
Bayern ya tandahimba au
 
Hivi fainali ya caf huwa ni mechi moja kama uefa au ni mechi mbili? Mwenye jibu la uhakika tafadhali atujuze.
 
Chiefs kwa msimu huu mpaka sasa hawapo vizuri sana,ila juzi Kati hapa kampiga Sundowns 2-1 kwenye league yao,kwa hiyo Simba wanapaswa kuwa na mipango sahihi jinsi ya kuwamaliza hawa jamaa kuanzia kwenye first Leg!!
Kizer chiefs kuwapiga Sundowns, haiwezi kutumika moja kwa moja kama ishara ya uimara wao. Kumbuka hata Ruvu shooting waliifunga Simba Sc lakini hawawezi kuwa bora kama simba.
 
Tutapamana nao,cha msingi mipango iwe dhabiti
FB_IMG_16198016265618463.jpg
 
Back
Top Bottom