Robo Fainali CAFCL: Simba Sc kukutana na Kaizer Chiefs

Robo Fainali CAFCL: Simba Sc kukutana na Kaizer Chiefs

Kaizer chief mashabiki wao wameanza kushangilia maana siku zote dua yao ilikua wanataka kukutana na Simba.
Mpira ni kitu cha ajabu sana [emoji3][emoji3][emoji3]
Huku fans wa simba wanashangilia kukutana na kaizer kule fans wa kaizer wanashangilia kukutana na simba[emoji3][emoji3]
 
Kule Kama billiat Huku Loui's miquissonne Moto utawaka fans wa keizer chiefs wanasema walikuwa wanatutamani Sana sisi ngoja tuone Nani atamtuliza mwenzie hapa
 
Leo ni siku iliyosubiriwa kwa hamu na wapenda kandanda Africa baada ya kuisha hatua ya Makundi ya michuano ya klabu bingwa Africa na Kombe la shirikisho Africa

Kuelekea kupangwa kwa droo ya robo fainali kaa nami upate live updates ujue nani kakutana na nani na mechi zitachezwa kuanzia lini


Ikumbukwe mwakilishi pekee wa Africa mashariki na kati Simba SC atakutana na kati ya Kaizer Chiefs,CB Belouizdad na Mc Alger quorter

=======

MC Alger VS Wydad AC

Kaizer Chiefs Vs Simba SC

CR Belouizdad Vs ES Tunis

Al Ahly SC Vs Mamelodi Sundowns

View attachment 1769245


Mtaongea sana, lakini bingwa anajulikana hapo ni Wydad, Belouizdad or Al ahly.. ..mmoja kati yao.. ..sifuti hii comment


🇦🇷🇦🇷🇦🇷🔥🔥
 
Hujui football ww mganga wa kienyej

Ulitaka nitaje timu ipi ili ufurahie!


Kila mtu na mapenzi yake kaka.. ..I am a fan of Wydad Casablanca.. ..na hapo nimelist moja kati ya timu 3 itakayotwaa ubingwa bila kubahatisha. Hii comment siifuti.. ..



🇦🇷🇦🇷🇦🇷🔥🔥
 
Back
Top Bottom