Robo Fainali Klabu Bingwa Africa: TP Mazembe 4 - 1 Simba SC

Kwani 'michuano' ijayo mtaanzia robo..!! Nikutoe hofu tu kuwa hamtofika hatua hii for years, ilikuwa bahati kubwa..... hongereni.

Usile Mbegu.
Mbona nyinyi hamjawahi fika hii bahati...tabu ipo palepale
 
Kiukweli leo Simba mlikuwa mnakufa goal 10 sema tu kwakuwa mliwaungisha ile dawa ya mpututu ndio maaana wakawaonea huruma
 
Kwani 'michuano' ijayo mtaanzia robo..!! Nikutoe hofu tu kuwa hamtofika hatua hii for years, ilikuwa bahati kubwa..... hongereni.

Usile Mbegu.
Kuna nilipoandika tutaanzia robo? Unasema hatotofika hii hatua una hakika utakuwepo kwanza? huenda tusifike kama wewe ndio unaamua nani afike na nani asifike.
 
Kweli kabisa mkuu inatakiwa tuboreshe zaidi eneo la ulinzi
 
Nipo naangalia mpira wa Huesca na Barcelona hapa Yani hiki kikosi cha Barcelona Sijui ni cha 4??? wachezaji wote unaowajua hakuna.Jumanne nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…