interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
Mara hii tu umeshaanza kuwa mwenye hekima namna hii[emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyura mnatabu Sana'a..
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyura mnatabu Sana'a..
Ndo mnajifariji hivyo mwanzoni mlikuwa hamlijui hilo... Chezea vumbi la mkongo wewe utavunja chaga
Ndo maana wameanza mapema,fumua beki yote abaki Nyoni na Aishi tu
kweli inaweza kuwa bahati... hiyo bahati iwafate na Yanga tuone.Kwani 'michuano' ijayo mtaanzia robo..!! Nikutoe hofu tu kuwa hamtofika hatua hii for years, ilikuwa bahati kubwa..... hongereni.
Usile Mbegu.
We are dead!
Mbona nyinyi hamjawahi fika hii bahati...tabu ipo palepaleKwani 'michuano' ijayo mtaanzia robo..!! Nikutoe hofu tu kuwa hamtofika hatua hii for years, ilikuwa bahati kubwa..... hongereni.
Usile Mbegu.
Wapuuzi mnasahau Simba imetolewa hatua ganiSo unathibitisha jinsi gani huwa mnanunua tu mechi za home ktk TPL lkn timu yenu ni kimeo kupita maelezo[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna nilipoandika tutaanzia robo? Unasema hatotofika hii hatua una hakika utakuwepo kwanza? huenda tusifike kama wewe ndio unaamua nani afike na nani asifike.Kwani 'michuano' ijayo mtaanzia robo..!! Nikutoe hofu tu kuwa hamtofika hatua hii for years, ilikuwa bahati kubwa..... hongereni.
Usile Mbegu.
Kweli kabisa mkuu inatakiwa tuboreshe zaidi eneo la ulinziKutoka Mbambane hatua ya awali hadi robo fainal kwa TP Mazembe sio mbaya kwa hapa tulipofikia.
Tuboreshe timu yetu kwa kipindi kijacho tuwe wazuri kuzidi hapa... Asanteni sana wachezaji wetu kwa uwezo wenu mlioonyesha toka mwanzo wa mashindano hadi hapa mlipokomea.
Mapungufu yameonekana naamini kama timu itajipanga zaidi.
Mwisho nasema hatuna hasara ila faida tu ya mkwanja na kuongeza uzoefu wa MASHINDANO HAYA YA CAF.
PA1
Hata nynyi tuliwanunua tukawasokomeza kimoja cha makalioniSo unathibitisha jinsi gani huwa mnanunua tu mechi za home ktk TPL lkn timu yenu ni kimeo kupita maelezo[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo?Kila la heri mnyama yangu mm
Hii kimeo ndio imekufanya uwe bize leo kutazama robo fainal.. kama yanga anauza mechi why tusinunue?So unathibitisha jinsi gani huwa mnanunua tu mechi za home ktk TPL lkn timu yenu ni kimeo kupita maelezo[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo amekwepo sasa