Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Hivi makelele fc mpo humuuu au mnalia kwanza huko majumbani mwenu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shabiki la makwasukwasu fc mambo ya mnyama yanawahusu nini....si makwasukwasu fc walishasukumizwa kimoja or hakikuwatoshaMambo?
Mnyama vipi?
Kweli Mazembe wamekosa nafasi za nyingi.. yote kwa yote tumetolewa hatua ambayo Dauda na wapambe wake Hawakutarajia.Kiukweli leo Simba mlikuwa mnakufa goal 10 sema tu kwakuwa mliwaungisha ile dawa ya mpututu ndio maaana wakawaonea huruma
Vyura mnatabu Sana'a..
Wapuuzi mnasahau Simba imetolewa hatua gani
Tulie kwa lipi...kwa kuingia robo fainali na kutolewa...wanalia ambao tangu wanazaliwa hawajawahi iona timu yao inafika hatua hiiHivi makelele fc mpo humuuu au mnalia kwanza huko majumbani mwenu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachezaji wetu wa pembeni si wakabaji kabisa. Wengi mtafikiri tatizo mabeki wa kati lakini tunahitaji wachezaji wanaoweza kumiliki mpira lakini pia ni mafundi kukaba. Leo central back imechoshwa mno. Kama hujui mpira unaweza usijue tatizo limeanzia wapi.Kweli kabisa mkuu inatakiwa tuboreshe zaidi eneo la ulinzi
Wewe una chuki binafsi na Simba hilo linajionesha kwenye comments zako humu hayo kusema tunanunua mechi hayana mashiko na nyie nunueni kama mna hela kwani mmezuiliwa kununua??So unathibitisha jinsi gani huwa mnanunua tu mechi za home ktk TPL lkn timu yenu ni kimeo kupita maelezo[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha afadhali umemkomeshaHata nynyi tuliwanunua tukawasokomeza kimoja cha makalioni
Hata nynyi tuliwanunua tukawasokomeza kimoja cha makalioni
Achana nae huyo.. anajikuna tako anakunya.Kuna nilipoandika tutaanzia robo? Unasema hatotofika hii hatua una hakika utakuwepo kwanza? huenda tusifike kama wewe ndio unaamua nani afike na nani asifike.
Hata wao tuliwanunuaWewe una chuki binafsi na Simba hilo linajionesha kwenye comments zako humu hayo kusema tunanunua mechi hayana mashiko na nyie nunueni kama mna hela kwani mmezuiliwa kununua??
Mbona unasema/unaandika???!!!!
Hivi makelele fc mpo humuuu au mnalia kwanza huko majumbani mwenu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani uongo hatukuwasokomeza yanga kimoja cha makalioni???Acha kujisababishia kupigwa ban bure, kwani unateseka sana na Makelele FC yako[emoji848][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu dawa ya kiburi ni jeuri
Kabisa, tunahitaji na midfield inayokaba zaidiNdo maana wameanza mapema,fumua beki yote abaki Nyoni na Aishi tu
Ila mmechapika sana ugenini! 5 + 5 + 2 + 4= ? Sioni mkipata bahati ya kufika hatua hii msimu ujao!Tungeshinda tungevuka malengo. Tumefikia malengo yetu hatuna sababu ya kusikitika. We will celebrate, tukutane Club Legends tu enjoy oldies tu.
Sent using Jamii Forums mobile app