Robo Fainali Klabu Bingwa Africa: TP Mazembe 4 - 1 Simba SC

Robo Fainali Klabu Bingwa Africa: TP Mazembe 4 - 1 Simba SC

Kiukweli leo Simba mlikuwa mnakufa goal 10 sema tu kwakuwa mliwaungisha ile dawa ya mpututu ndio maaana wakawaonea huruma
Kweli Mazembe wamekosa nafasi za nyingi.. yote kwa yote tumetolewa hatua ambayo Dauda na wapambe wake Hawakutarajia.
 
Vyura mnatabu Sana'a..

Baadhi ya magazeti yetu hapa TZ leo yaliibuka na kichwa cha habari 'TUMEWAWEZA'...Binafsi sikuelewa maana yake ni nini?? Lengo lilikuwa ni kuwafurahisha wanachama wa Simba au lilikuwa ni kutoa siri za Simba kwa maadui au ulikuwa ni 'utoto' tu katika uandishi wa habari??? Yaani magazeti yaaandika habari ya kuwashitua maadui?? dah???!!!
 
Kweli kabisa mkuu inatakiwa tuboreshe zaidi eneo la ulinzi
Wachezaji wetu wa pembeni si wakabaji kabisa. Wengi mtafikiri tatizo mabeki wa kati lakini tunahitaji wachezaji wanaoweza kumiliki mpira lakini pia ni mafundi kukaba. Leo central back imechoshwa mno. Kama hujui mpira unaweza usijue tatizo limeanzia wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe una chuki binafsi na Simba hilo linajionesha kwenye comments zako humu hayo kusema tunanunua mechi hayana mashiko na nyie nunueni kama mna hela kwani mmezuiliwa kununua??
Hata wao tuliwanunua
 
Tunaupongeza uongozi, wachezaji,fans na wapenzi wa TIMU zingine kwa kuiwezesha timu ya Simba kufika hapa tulipofika, katika kila mashindano lazima mshindi apatikane, Hongereni TP Mazembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatimaye mwali Bisimbakaolewa
IMG-20190406-WA0015.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom