Robo Fainali Klabu Bingwa Africa: TP Mazembe 4 - 1 Simba SC

Haji manara kuna press moja anakwambia simba wana cheza kama PlayStation.Baada ya miaka miwil mazembe watakuwa kaburini simba mbingun [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata nynyi tuliwanunua tukawasokomeza kimoja cha makalioni
Mkuu acha hasira na matusi it help nothing,mpira n furaha na amani,nyinyi Simba kufika hapo mlipo fika n hatua nzuri tu na kutolewa n sehemu ya mchezo,matusi si sehemu yake.

Sent from Nokia 7 Plus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…