Robo Fainali Klabu Bingwa Africa: TP Mazembe 4 - 1 Simba SC

Difaa el Jadida ndiyo timu ya msuva kama sijakosea ndiyo timu iliyoivimbia mazembe kwao Lubumbashi
 
Alisika mlevi mmoja akiwafariji wafiwa. Huku akinesa nesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga walishatolewa nusu fainali klabu bingwa Afrika kwa kurusha Shilingi. Maybe ulikuwa hujazaliwa.
Walitolewa nusu fainali mwaka gani na timu gani...danganya nikuumbue...hahaah unaleta story za vijiwe vya kahawa mkiwa mmelewa
 
Kuanzia midfield mpaka beki wanakaba kwa macho tu, nahisi hata kocha sio mzuri sana kufundisha defensive football

Sent using Jamii Forums mobile app
Kocha wetu siyo mzuri kwenye kudefend baada ya Simba kupata bao alitakiwa ashambulie lakini timu nzima ilirudi nyuma matokeo yake tunafungwa magoli rahisi hata mbinu zake anampanga mtu ka Nyonzima ambaye ni mvivu wa kukaba
 
Mko sahihi! Mechi zote za ugenini kuanzia hatua ya makundi kocha alizidiwa mbinu hata kufanya maamuzi kulimshinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…