Kuanzia midfield mpaka beki wanakaba kwa macho tu, nahisi hata kocha sio mzuri sana kufundisha defensive football
Sent using Jamii Forums mobile app
Mko sahihi! Mechi zote za ugenini kuanzia hatua ya makundi kocha alizidiwa mbinu hata kufanya maamuzi kulimshindaKocha wetu siyo mzuri kwenye kudefend baada ya Simba kupata bao alitakiwa ashambulie lakini timu nzima ilirudi nyuma matokeo yake tunafungwa magoli rahisi hata mbinu zake anampanga mtu ka Nyonzima ambaye ni mvivu wa kukaba
Bro De Agosto ni ya nchi gani?
ilikuwa robo fainali vs Asante Kotoko miaka ya sabini huko.Walitolewa nusu fainali mwaka gani na timu gani...danganya nikuumbue...hahaah unaleta story za vijiwe vya kahawa mkiwa mmelewa
Vipi matokeo?Ukiangalia mechi ya sundown na ahly muda huu ndo utajua mpira wa tanzania bado una safari ndefu sana.
Nyie mara mwisho kwenye hatua ya makundi ya CACL mliambulia point 2 na kufungwa magoli 19 huku mkishika mkia kwenye kundi lenu ila Simba kufungwa hatua ya robo fainali mmepandisha pua juu eti nchi imedhalilishwa nyie wakupuuzwa
Sisi hatuna tatizo na hayo.Nyie mara mwisho kwenye hatua ya makundi ya CACL mliambulia point 2 na kufungwa magoli 19 huku mkishika mkia kwenye kundi lenu ila Simba kufungwa hatua ya robo fainali mmepandisha pua juu eti nchi imedhalilishwa nyie wakupuuzwa
Bado hawajafungana dakika ya 55Vipi matokeo?