Robo Fainali Klabu Bingwa Africa: TP Mazembe 4 - 1 Simba SC

Mkuu mwache na msamehe bure, kipigo cha Jana kimemchakaza chakali hadi anaroroma tu.
 
Huwezi kufika mbali kwenye michuani hii fkwa kutegemea magoli ya kiini macho uwanja wa Taifa na domo la Haji Manara.

Thamani ya Simba ni billioni 2 wakati jana Mose Katumbi kaweka mezani billion 1 kuiondowa Simba mashindanoni. Sisi tuendelee tu na upuuzi wetu wa ligi ya kipumbavu mtu ana viporo 10 bingwa anapangwa mezani tukitoka hapa tutaishia kuwainea Wacomoro tu ila tukivuka round ya pili tu ni vipigo vya kuchakazwa tu.
 
Bravo, wewe huko vizuri bro, umeongea kimchezo. Badala ya kujadili kwa nini ndani ya game NNE za away tumepigwa vipigo vya mbwa koko, yaana gori 18 ndani michezo minne tu ya away, ili ni tatizo, tena kubwa. Asante bro unastahili hata kushika nafasi ya uongozi hapo tff, unaweza kutusaidia
 
Tushawazoea midomo yenu mliishaigeuza Tigo, badala ya kuongea point, ni vinyesi tu. Na hiyo yote ni hasira ya kutobolewa marinda 5G-1 huko Lubumbashi, mmebaki kuweweseka tu. Poleee Bi Hindu.
Ndio tumevuka makundi na kutokea robo sasa... imekuuma kama we Simba
 
Lakini Yanga hakukusanya kapu la magoli ya hamsa hamsa kama Makelele FC 5+5+5+2+4=16, bila shaka hawakuwa simba bali walichanganyika na mafisi[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilisema yule zana hakuna beki mule ana upepo ametucost sana jana watu wanapita kwake kama boarder la vibaka kupita

Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
 
Umenena vizuri kabisa Chifu, ni sawa na Mwanafunzi aliyefaulu kufika chuo kikuu akitokea form six afu mwaka wa kwanza huo huo aka-discontinue, akiulizwa na mwanafunzi mwenziye aliyefeli kuingia chuo kikuu "kwanini ume-discontinue na elimu ya chuo kikuu?" akajitetea "oooh...mwaka jana nilifaulu kwa kiwango cha juu sana ambacho wewe mwenyewe hukuweza hata kufikia hiyo hatua, nilipewa mkopo wa kusomea chuoni" sasa inasaidia nini nakati tayari haikuongezei chochote zaidi ya kubaki na historia tu.

TZ tuna safari ndefu sana kufikia viwango bora vya kimataifa kama Mamelod Sundowns[emoji30][emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini Yanga hakukusanya kapu la magoli ya hamsa hamsa kama Makelele FC 5+5+5+2+4=21, bila shaka hawakuwa simba bali walichanganyika na mafisi[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilisema yule zana hakuna beki mule ana upepo ametucost sana jana watu wanapita kwake kama boarder la vibaka kupita

Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
Mwengine yule mnyoaji kiduku afu kaweka kalkiti nywele zake kama shoga vile, Watu walipenya kama vile bodaboda wanavyopenyaga pakiwa na jam za magari barabarani[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo makundi ndio yalikuwa ni nane bora kama Simba walivyofika sasa kabla ya kutolewa jana. Tofauti ndogo ni kwamba nane bora aloingia yanga iliendeshwa kwa mfumo Wa ligi wakati Simba kabla hajaingia nane bora alicheza ligi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…