Robo Fainali Klabu Bingwa Africa: TP Mazembe 4 - 1 Simba SC

Kadanganye wapuuzi wenzio hakuna unalojua kwenye mpira, ati mwaka 1997 yaani hata mwaka hujui matokeo ya mechi husika utayajuaje? Naona umevurugwa na 5G-1. Rudi huku ule viporo vyako kwa hisani ya bodi ya ligi tff.
Wewe unayejua sema sasa mshawahi fika hatua aliyofika simba mwaka gani...wacha blahblah...wewe umevurugwa na 6G ya mara ya mwisho mwaka 97
 
Mbumbumbu ni wewe unayeikashifu timu iliyofika hatua ambayo timu yako toka ianzishwe haijawahi fika
 
Lakini Yanga hakukusanya kapu la magoli ya hamsa hamsa kama Makelele FC 5+5+5+2+4=16, bila shaka hawakuwa simba bali walichanganyika na mafisi[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Utakusanyaje kapu la magoli wakati hujawahi fika hatua aliyofika simba....fika wewe tuone utapigwa goli ngapi...kwani mara ya mwisho hatua za makundi zile 6 mlizopigwa Maning rangers halikuwa kapu la magoli????hizo hatua utaishia kuziona kwenye tv wakati wenzio tunazicheza
 
Makelele FC bn, so MO akijiamulia kuikacha tu Mafisi FC basi tena na ninyi mnarudi matopeni mlipokuwa miaka mi4 nyuma.

Wala akili zenu hazijistukii tu ili msiwe tegemezi kwa kila kitu toka kwa MO?

Hamjifunzi tu kinachompata Yanga FC ss hv tangu Manji atoke kuimiliki Yanga FC zaidi ya kuendelea tu kubweteka kumtegemea MO[emoji848] bac endeleeni tu kumtegemea anayeweza kujitoa muda wowote ktk timu yenu[emoji848][emoji56]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga haijawahi kufika robo fainali ya champion league, ilifika robo fainali ya club bingwa ya Africa yaani kabla haijabadilishwa muundo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha haaa
English = African Champions league
Swahili = Ligi ya mabigwa Africa
Whatever you name it, It was African Champions League, means the League that involves the champions of each country /federation.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni sana wanasimba, sisi wazee wa ndala acha tupambane na hali zetu
 
Kweli! Viporo vyetu wajiandae kupashwa
Ila pole Mtani. Najua unaumia ndani kwa ndani ila ndio mpira ule.

Sababu mwisho wa siku waliopita kwenda Semi ni wale wale waliozoeleka.

Mazembe, Mamelody, Esperance na W. Casablanca.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…