Twamo
JF-Expert Member
- May 27, 2017
- 2,884
- 5,016
Umepaniki mzee! 'Relax' ndio ishatokea hivyo, hata ukipovuka haisaidii kitu! Mmeshatolewa karibuni kwenye ligi yetu ya ' kichovu'Utakusanyaje kapu la magoli wakati hujawahi fika hatua aliyofika simba....fika wewe tuone utapigwa goli ngapi...kwani mara ya mwisho hatua za makundi zile 6 mlizopigwa Maning rangers halikuwa kapu la magoli????hizo hatua utaishia kuziona kwenye tv wakati wenzio tunazicheza
Sent using Jamii Forums mobile app