Robo Fainali Klabu Bingwa Africa: TP Mazembe 4 - 1 Simba SC

WALAAA..HAPO NILIKUWA NATANGAZA KAWAIDA TU...NA KAMA UMEFUATILIA KIUNDANI HAPO JUU HAMNA CHEMBE CHEMBE YA UNAZI
Najua umeolewa na mazembe baada kuwapwelepweta Al-ahaly, vita, soursa (sina uhakika na spelling) dynamo n.k

Lipuli kitakuwa kidumu chako!!!
 
we umeishiwa maneno unaanza uswahili....🚮🚮🚮🚮🚮
 
Hahahaaaa. Nimecheka kwa sauti. Lol

Ahsante Mtani. Tumewaachia Ubingwa Mtani pale hatuna chetu tena.
But refa alitumaliza jana kabisa lile goli letu aise,kwa pamoja naungana na wewe "ubingwa tumewaachia watani".
 
Na Azam walivyo watu wabaya hata hakukuwa na replay za kutosha cha zaidi wakaendelea tu mambo mengine.

Yah. Tumewaachia Mkuu maana hatuna jinsi tena. Tugange ya msimu ujao tu sasa.

Na pia tuombe huo uchaguzi ufanyike huenda nao ukaleta mabadiliko ndani ya Klabu.
 
Azam n kama waliipotezea kiaina hivi,hapa n kuomba tu upatikane uongozi imara na mipango madhubuti iwekwe mezani ili tusonge mbele zaidi.
 
CAF.jpg
 
Back
Top Bottom