Robo Fainali Klabu Bingwa Africa: TP Mazembe 4 - 1 Simba SC

Robo Fainali Klabu Bingwa Africa: TP Mazembe 4 - 1 Simba SC

Hahahaaa. Yaani Mtani nimepata chance kidogo nikaona nije nicheke huku.

Baadae nitaenda nao maana kamoja kana hasira bado za kufungwa jana. [emoji28][emoji28][emoji28] hivyo kakabadilishe mazingira angalau kasahau machungu. [emoji28][emoji28][emoji28]
Huyo itabidi tumsilimishe aje timu ya wananchi
 
Aiseee kiukweli toka rohoni Mungu akinishuhudia kiukweli natamani mtupige the blues vyovyote vile ili mchukue pointi maana yule Pep simpendi kabisa kwa jinsi anavyotubagua Waafrika basi nami ndivyo ninavyomchukia sana asifanikiwe kwa lolote.
Mechi ngumu ni hii yenu.

Kama tukishinda hii tunaweza mpa pressure City.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom