100 Likes
JF-Expert Member
- Nov 5, 2018
- 2,416
- 5,165
Horoya ametolewa na Wydad kwa magoli 5-0 , Al ahly kafungwa 5-1 na Mamelod na kutoka, Constantine kapigwa jumla 6-3 na Esperance huku Simba ikifungwa 4-1 na Mazembe kwa matokeo hayo bado Simba imefanya vyema kwa hatua iliyofika! Hongereni Simba a. K. a Mnyama.
Shukrani jamaa.