Robo Fainali Klabu Bingwa Africa: TP Mazembe 4 - 1 Simba SC

Robo Fainali Klabu Bingwa Africa: TP Mazembe 4 - 1 Simba SC

Horoya ametolewa na Wydad kwa magoli 5-0 , Al ahly kafungwa 5-1 na Mamelod na kutoka, Constantine kapigwa jumla 6-3 na Esperance huku Simba ikifungwa 4-1 na Mazembe kwa matokeo hayo bado Simba imefanya vyema kwa hatua iliyofika! Hongereni Simba a. K. a Mnyama.

Shukrani jamaa.
 
Yaani kufungwa ndio kunifanye nisile? nilikula msosi kwa amani kabisa, halafu unajua nini mtani kufungwa hakuishi kupo tu ndio maisha ya mpira yalivyo.
Simba nguvu moja
Ndio hasa wale wenye tambo Mtaani huwa wanashindwa hata kula hasa wakiwaza walivyokuwa na maneno kabla ya mechi na namna ya kupokea maneno ya kejeli toka kwa watani zao.

Yah. Kufungwa huwa hakuishi Mtani hasa katika maisha ya mpira kama usemavyo.
 
Nilitaka nishangae usijitokeze Kipindi Kama hichi labda sio wewe

Kamwenee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro umechambua vizuri kweli kweli . Nimekufananisha na bbc sports wanavyochambua kwa kina pokea 👊🏿. Kwahiyo kama hawakukataa hilo goli ingekuwa goli 5 kama za vita na ah ahly. Simba akienda nje hana Ujanja. Amezoea ushindi wa ujanja ujanja ku spray
Shukrani kiongozi tupo pamoja
 
Back
Top Bottom