interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
wazee wa yes we can, do or die, jasho na damu.... wana hali mbaya kweli
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]MAISHA YANGU YOTE NIMEKULIA YANGA, NAISHI YANGA NA NITAFIA YANGA....SIMBA NI MTANI WANGU TU
ahahahahahahahahahaahMarehemu alikuwa Malaya sana kwa 7bu alikuwa haridhiki bila ya kupigwa 5+5+5+2+4[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua umeolewa na mazembe baada kuwapwelepweta Al-ahaly, vita, soursa (sina uhakika na spelling) dynamo n.kWALAAA..HAPO NILIKUWA NATANGAZA KAWAIDA TU...NA KAMA UMEFUATILIA KIUNDANI HAPO JUU HAMNA CHEMBE CHEMBE YA UNAZI
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
we umeishiwa maneno unaanza uswahili....🚮🚮🚮🚮🚮Najua umeolewa na mazembe baada kuwapwelepweta Al-ahaly, vita, soursa (sina uhakika na spelling) dynamo n.k
Lipuli kitakuwa kidumu chako!!!
Kwani uswahili haulongilongi?we umeishiwa maneno unaanza uswahili....🚮🚮🚮🚮🚮
Ndio nimefika leo pole kwa kipigo cha jana😂😂😂😂 nacheka sana leo.
Ulishafika Mtani au bado na mie niunge. 😅😅😅
Hahahaaaa. Nimecheka kwa sauti. LolNdio nimefika leo pole kwa kipigo cha jana
But refa alitumaliza jana kabisa lile goli letu aise,kwa pamoja naungana na wewe "ubingwa tumewaachia watani".Hahahaaaa. Nimecheka kwa sauti. Lol
Ahsante Mtani. Tumewaachia Ubingwa Mtani pale hatuna chetu tena.
Na Azam walivyo watu wabaya hata hakukuwa na replay za kutosha cha zaidi wakaendelea tu mambo mengine.But refa alitumaliza jana kabisa lile goli letu aise,kwa pamoja naungana na wewe "ubingwa tumewaachia watani".
Azam n kama waliipotezea kiaina hivi,hapa n kuomba tu upatikane uongozi imara na mipango madhubuti iwekwe mezani ili tusonge mbele zaidi.Na Azam walivyo watu wabaya hata hakukuwa na replay za kutosha cha zaidi wakaendelea tu mambo mengine.
Yah. Tumewaachia Mkuu maana hatuna jinsi tena. Tugange ya msimu ujao tu sasa.
Na pia tuombe huo uchaguzi ufanyike huenda nao ukaleta mabadiliko ndani ya Klabu.
Ndio muachie njiaHahahaaaa. Nimecheka kwa sauti. Lol
Ahsante Mtani. Tumewaachia Ubingwa Mtani pale hatuna chetu tena.
Na hili ndio kubwa Mkuu.Azam n kama waliipotezea kiaina hivi,hapa n kuomba tu upatikane uongozi imara na mipango madhubuti iwekwe mezani ili tusonge mbele zaidi.
Tuiachie mara ngapi Mtani. Kina cha maji kishakuwa kirefu.Ndio muachie njia
Bora umesema ukweliTuiachie mara ngapi Mtani. Kina cha maji kishakuwa kirefu.
una hamu ya mtungo?Acha kuniuliza kwa hasira pumbafu.
Kuna uzi ulikuwa na maudhui kama haya nilitaka aunganishe ,kaunganisha.