Robo Fainali Klabu Bingwa Africa: TP Mazembe 4 - 1 Simba SC

Robo Fainali Klabu Bingwa Africa: TP Mazembe 4 - 1 Simba SC

Tunashukuru kucheza robo fainali. Ni beyond our expectations. Mchezo wa leo wachezaji wamejituma mno ila tumezidiwa kimchezo.

Kwangu kwa mechi ya Lubumbashi mashujaa ni benchi la ufundi, lakini pia key player leo ni Aishi Manula na Erasto Nyoni.

Tunawashukuru wachezaji wote kwa heshima mliyotupa. Leo mmekutana na timu bora Africa lakini mmekufa kiume.

Tutajipanga michuano ijayo! Vile viporo vijipange!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Harusi ilikuwa nzuri hatimaye bi harusi kampata mkongo ambaye ndio wa kufa na kuzikana
tapatalk_1554697808411.jpeg
 
Tusifanye makosa kwenye usajili

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huu ukuta wetu (mabeki) ni ukuta wa biskuti aisee lazima kwenye usajili tuangalie hili kama tunataka kufika zaidi ya hapa. Hongereni Simba kufika robo fainali ya CACL na Safari njema mkirudi home tumalizie viporo tuchukue tena ubingwa wa TPL turudi tena CACL tukiwa na kikosi bora zaidi ya hapa.
 
Anyway! Tulikuwa washiriki wazuri, tumejitahidi kufika robo fainali na tumejifunza mengi tujipange upya kwa michuano ijayo.
Kwani 'michuano' ijayo mtaanzia robo..!! Nikutoe hofu tu kuwa hamtofika hatua hii for years, ilikuwa bahati kubwa..... hongereni.

Usile Mbegu.
 
Kutoka Mbambane hatua ya awali hadi robo fainal kwa TP Mazembe sio mbaya kwa hapa tulipofikia.
Tuboreshe timu yetu kwa kipindi kijacho tuwe wazuri kuzidi hapa... Asanteni sana wachezaji wetu kwa uwezo wenu mlioonyesha toka mwanzo wa mashindano hadi hapa mlipokomea.
Mapungufu yameonekana naamini kama timu itajipanga zaidi.
Mwisho nasema hatuna hasara ila faida tu ya mkwanja na kuongeza uzoefu wa MASHINDANO HAYA YA CAF.
PA1
 
So unathibitisha jinsi gani huwa mnanunua tu mechi za home ktk TPL lkn timu yenu ni kimeo kupita maelezo[emoji1787]

Back
Top Bottom