Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh una roho ngumuzana leo hana mchezo mzuri,lakini tunapita Mungu yupo
Hahaaah baada ya kukuta timu lako bovu umeamua kutafuta hifadhi ugeniniAsante mkuu. Leo majonzi yote yamefutwa na TP Mazembe.
TP Mazembe Shikamoo.
Wapo bana,mbona Ligi Kuu hamfungwi au tuseme ndio MpesaSimba hain a beki
Lipuli aliwatatua marinda yanga mkuu..naona aliwatatua mpaka washabiki wake wameanza kupoteza kumbukmbuNa wewe Lipuli alikupiga ki1 hicho hicho cha nguruwe hadi ukazaa watoto 12[emoji4][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Roho iliwauma Simba kufika robo fainal... imetoka fanya sherehe
[emoji23][emoji23],mkuu
Dawa imeingia vizuri sana ndiyomaana mmeamua kuwa wapole kama kuku wa kizungu vile[emoji847]Kama yanga walivyozoea kuolewa
Mi ni shabiki wa TP Mazembe kwa muda. Baada ya leo sina ushabiki nayo tena. Mi ni Yanga tu toka utotoni.Hahaaah baada ya kukuta timu lako bovu umeamua kutafuta hifadhi ugenini
Sasa nani mwenye disoder kati ya jamaa na wewe...anayeshangilia timu yake or alieona timu lake bovu ameamua kutafuta hifadhi kwa wakongo???
Sasa hivi ndio mnamgeukia Mungu,Somo alivyowadanganya mtashinda goal la Babu dakika ya kwanza mkashangilia SanaMimi nimeacha kutazama ninasali tu huku,Mungu afanye miujiza
Poleni sanaThis is simba [emoji91][emoji91][emoji91]
Bado mawili ya MK
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huwezi amini dua hii ndio imesikilizwa kuliko ile ya ushindi tuliyoomba kabla hata ya mechi