Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Kazingua boya huyo.. Kwanini asimpe hata okwiSiku ya leo ishajionyesha sio nzuri kwa bocco kaisha kosa magoli ya wazi mawili penalti akutakiwa kungangania maana nikujitaftia lawama bora angepiga kagere au nyoni. Mbona samatta ni kepteni ila siku ya mechi ya uganda aliona bora apige nyoni. Ubinafsi wakati mwingine unaponza.
kufunga sio rahisi ila katika opportunities zote penalty ndio ina probability kubwa, kuwa nguli sio kwamba ndio mpiga penalty mzuri penalty inahitaji uwe na confidence na usiwe mwoga.., kama mtu unasita sita na hauna uhakika kuna wenzako 10 uwanjani unaweza kuwaachia wakapiga.......Sisi watu wa mpira tunajua kufunga Penati si rahisi. Wacheza nguli duniani mara kadhaa wamekosa penati!!
Watu wanambishia MUNGU sembuse refa!!Cheki na hili linabishana na refa..
Pole sana.Vipi wife/shemeji hakuwepo karibu?Sijawahi kuishiwa nguvu na kujamba mbele za watu ila boko kanifanya nlegee na kujamba mbele za watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati mwingine maelekezo ya nani apige hutoka kwa Kocha.kama mtu unasita sita na hauna uhakika kuna wenzako 10 uwanjani unaweza kuwaachia wakapiga.......
hawezi kukwepa lawamaJamani huo ndio mpira, msije kumwangushia Boko jumba bovu.!
Usishangae mwarabu akapindua meza kibabe huko Misri
Hii penati ilitosha kuamsha morali sema ndiyo hivyo......Simba imepoa, wamekata tamaa hivi
Canal+ tunaendelea kula burudaniMvua inanyesha na Azam wamejikatia mda sana.
Ndio nn mkuu hichoCanal+ tunaendelea kula burudani