Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC na TP Mazembe zatoka sare uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC na TP Mazembe zatoka sare uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

Siku ya leo ishajionyesha sio nzuri kwa bocco kaisha kosa magoli ya wazi mawili penalti akutakiwa kungangania maana nikujitaftia lawama bora angepiga kagere au nyoni. Mbona samatta ni kepteni ila siku ya mechi ya uganda aliona bora apige nyoni. Ubinafsi wakati mwingine unaponza.
Kazingua boya huyo.. Kwanini asimpe hata okwi
 
Sisi watu wa mpira tunajua kufunga Penati si rahisi. Wacheza nguli duniani mara kadhaa wamekosa penati!!
kufunga sio rahisi ila katika opportunities zote penalty ndio ina probability kubwa, kuwa nguli sio kwamba ndio mpiga penalty mzuri penalty inahitaji uwe na confidence na usiwe mwoga.., kama mtu unasita sita na hauna uhakika kuna wenzako 10 uwanjani unaweza kuwaachia wakapiga.......
 
Na nlijua Okwi anachukua nafasi ya Boko. Boko huwa simkubali sana anafunga moja anakosa kumi.
 
Leo Simba utafikiri walikua hawachezi pamoja..
 
Ukishaona siku sio njema kwako kila ukijaribu unakosea inafika wakati ulazimishe ata kuomba Sub.Ukweli upo wazi ata simba wakiondolewa bocco ndo chanzo.
 
Back
Top Bottom