Leo kila mtoto wa simba anahasira ukigusa kule analia ukigusa huku analiaAkiwemo AS Vita eeeh?Shubamit mshaanza kugeuza maneno kama mnavyogeuzwa nyuma.
Kundi lililokuwa na finalist wa CAF confederation cup ndio unasema dhaifu kuliko zote? Kundi pekee ambalo kila timu ilkuwa na nafasi ya kutinga robo fainali, unasema ndilo dhaifu kuliko zote!Kundi la al Ahly ndiyo lilikuwa kundi dhaifu kuliko makundi yote
Simba katolewa na timu inaitwa mashujaa daraja la kwanza FA cup mapemaaa utalinganisha na ndanda wako TPL? Jiongeze mikia ya mbwa wewe, mshukurini refa kawabeba sana hamjabebeka. Kichapo msituni CongoTeam inatoa dro na ndanda na kuupotezea ubingwa wazi wazi vyura wanakoroma kwa furaha [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Mnyama simba anatoa dro na tp mazembe hatua ya robo fainali club beingwa Africa yanamzomea
Hiv yana akili kweli hata mavyura??? [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
NB:Simba itabaki mawinguni
Sent using Jamii Forums mobile app
kwahiyo Simba angeshinda au angefungwa vigoli vichache tu dhidi ya Mamelod kwasababu Simba wana game approach nzuri away na ina wachezaji bora kuliko Al Ahly hivyo wangefungwa magoli pungufu ya alizopigwa Al Ahly leo?Soka siyo sawa na hisabati kwamba;kwavile A=B,na B=C basi A=C pia.
Mnachezea mshedede!
Hata wakifurahi hawatakaa wafike ilipofika simba, pili hiyo mwakani labda waende kama mashabiki na nauli tuwape sisiYanga mmefurahi Sana leo! Hongereni huenda msimu ujao ikawa zamu yenu kuwakilisha nchi.
Uyo mpira kaujulia ukubwani unapoteza nguvu zako bureKundi lililokuwa na finalist wa CAF confederation cup ndio unasema dhaifu kuliko zote? Kundi pekee ambalo kila timu ilkuwa na nafasi ya kutinga robo fainali, unasema ndilo dhaifu kuliko zote!
Nadhani hujui kutumia takwimu vizuri mkuu.
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitakwimu upo sahihi maana hata al ahly ni timu yenye takwimu za uhakika. Lakini form za timu hubadilika msimu kwa msimu. Vita iliyofika fainali mwaka jana sio vita ya mwaka huu. Ah ahly yenye takwimu nzuri imechabangwa 5Kundi lililokuwa na finalist wa CAF confederation cup ndio unasema dhaifu kuliko zote? Kundi pekee ambalo kila timu ilkuwa na nafasi ya kutinga robo fainali, unasema ndilo dhaifu kuliko zote!
Nadhani hujui kutumia takwimu vizuri mkuu.
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Teb Teh. Au apige Mlipili?!Apige Boko.
Hivi angepata ile penati ungeandika haya?!Siku ya leo ishajionyesha sio nzuri kwa bocco kaisha kosa magoli ya wazi mawili penalti akutakiwa kungangania maana nikujitaftia lawama bora angepiga kagere au nyoni. Mbona samatta ni kepteni ila siku ya mechi ya uganda aliona bora apige nyoni. Ubinafsi wakati mwingine unaponza.
Unahisi Messi alipokosa penati ile fainali ya Copa America alikuwa hana uhakika wala confidence. Kwanini tusikubali tu bahati mbaya huwa zinatokea?!kufunga sio rahisi ila katika opportunities zote penalty ndio ina probability kubwa, kuwa nguli sio kwamba ndio mpiga penalty mzuri penalty inahitaji uwe na confidence na usiwe mwoga.., kama mtu unasita sita na hauna uhakika kuna wenzako 10 uwanjani unaweza kuwaachia wakapiga.......
Messi sio mpiga penalty mzuri ameshakosa nyingi sana, na mara nyingi star anayetegemewa huwa anakosa penalty sababu ya kuzidiwa na pressure ya mategemeo ya watu, penalty inahitaji uwe na bottle.., watu kama kina Yaya Toure..., au kwenye game kali star ana uwezekano mkubwa wa kukosa..., Its all about the bottle and nerves of steel.., na siku hiyo umeamkaje kama umeshakosa kosa mabao bora na penalty usipige by the way nipe stats za huyu jamaa na matuta isije ikawa ni mtu wa kukosa...Unahisi Messi alipokosa penati ile fainali ya Copa America alikuwa hana uhakika wala confidence. Kwanini tusikubali tu bahati mbaya huwa zinatokea?!
Akili zenu vyura zishapotelea dimbwini haya mnashangilia dro ya simba na mazembe ina faida gani kwenu?Simba katolewa na timu inaitwa mashujaa daraja la kwanza FA cup mapemaaa utalinganisha na ndanda wako TPL? Jiongeze mikia ya mbwa wewe, mshukurini refa kawabeba sana hamjabebeka. Kichapo msituni Congo
Sent using Jamii Forums mobile app
Na bado subirini kichapo LubumbashiKila nikiifikiria penalt ya boko nakosa usingizi
Jamaa yangu unajichanganya kinoma. Mimi nimekuuliza unahisi siku ile Messi anakosa penati alikosa confidence? Wewe umenambia Messi sio mpigaji mzuri wa penati. Haya kati yangu mimi na wewe nani anastahili kuleta stats?!Messi sio mpiga penalty mzuri ameshakosa nyingi sana, na mara nyingi star anayetegemewa huwa anakosa penalty sababu ya kuzidiwa na pressure ya mategemeo ya watu, penalty inahitaji uwe na bottle.., watu kama kina Yaya Toure..., au kwenye game kali star ana uwezekano mkubwa wa kukosa..., Its all about the bottle and nerves of steel.., na siku hiyo umeamkaje kama umeshakosa kosa mabao bora na penalty usipige by the way nipe stats za huyu jamaa na matuta isije ikawa ni mtu wa kukosa...
Hay
Haya mavyura yana akili ya konokono.