Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC na TP Mazembe zatoka sare uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC na TP Mazembe zatoka sare uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

Kundi la al Ahly ndiyo lilikuwa kundi dhaifu kuliko makundi yote
Kundi lililokuwa na finalist wa CAF confederation cup ndio unasema dhaifu kuliko zote? Kundi pekee ambalo kila timu ilkuwa na nafasi ya kutinga robo fainali, unasema ndilo dhaifu kuliko zote!

Nadhani hujui kutumia takwimu vizuri mkuu.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Team inatoa dro na ndanda na kuupotezea ubingwa wazi wazi vyura wanakoroma kwa furaha [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]

Mnyama simba anatoa dro na tp mazembe hatua ya robo fainali club beingwa Africa yanamzomea

Hiv yana akili kweli hata mavyura??? [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]

NB:Simba itabaki mawinguni

Sent using Jamii Forums mobile app
Simba katolewa na timu inaitwa mashujaa daraja la kwanza FA cup mapemaaa utalinganisha na ndanda wako TPL? Jiongeze mikia ya mbwa wewe, mshukurini refa kawabeba sana hamjabebeka. Kichapo msituni Congo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kundi lililokuwa na finalist wa CAF confederation cup ndio unasema dhaifu kuliko zote? Kundi pekee ambalo kila timu ilkuwa na nafasi ya kutinga robo fainali, unasema ndilo dhaifu kuliko zote!

Nadhani hujui kutumia takwimu vizuri mkuu.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
Uyo mpira kaujulia ukubwani unapoteza nguvu zako bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kundi lililokuwa na finalist wa CAF confederation cup ndio unasema dhaifu kuliko zote? Kundi pekee ambalo kila timu ilkuwa na nafasi ya kutinga robo fainali, unasema ndilo dhaifu kuliko zote!

Nadhani hujui kutumia takwimu vizuri mkuu.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitakwimu upo sahihi maana hata al ahly ni timu yenye takwimu za uhakika. Lakini form za timu hubadilika msimu kwa msimu. Vita iliyofika fainali mwaka jana sio vita ya mwaka huu. Ah ahly yenye takwimu nzuri imechabangwa 5
 
Mpka sasa ni dakika ya 200 simba 5 - 0 Tp mazembe

Kule Lubumbash simba wataenda kushinda njaaa
 
Siku ya leo ishajionyesha sio nzuri kwa bocco kaisha kosa magoli ya wazi mawili penalti akutakiwa kungangania maana nikujitaftia lawama bora angepiga kagere au nyoni. Mbona samatta ni kepteni ila siku ya mechi ya uganda aliona bora apige nyoni. Ubinafsi wakati mwingine unaponza.
Hivi angepata ile penati ungeandika haya?!
 
kufunga sio rahisi ila katika opportunities zote penalty ndio ina probability kubwa, kuwa nguli sio kwamba ndio mpiga penalty mzuri penalty inahitaji uwe na confidence na usiwe mwoga.., kama mtu unasita sita na hauna uhakika kuna wenzako 10 uwanjani unaweza kuwaachia wakapiga.......
Unahisi Messi alipokosa penati ile fainali ya Copa America alikuwa hana uhakika wala confidence. Kwanini tusikubali tu bahati mbaya huwa zinatokea?!
 
Unahisi Messi alipokosa penati ile fainali ya Copa America alikuwa hana uhakika wala confidence. Kwanini tusikubali tu bahati mbaya huwa zinatokea?!
Messi sio mpiga penalty mzuri ameshakosa nyingi sana, na mara nyingi star anayetegemewa huwa anakosa penalty sababu ya kuzidiwa na pressure ya mategemeo ya watu, penalty inahitaji uwe na bottle.., watu kama kina Yaya Toure..., au kwenye game kali star ana uwezekano mkubwa wa kukosa..., Its all about the bottle and nerves of steel.., na siku hiyo umeamkaje kama umeshakosa kosa mabao bora na penalty usipige by the way nipe stats za huyu jamaa na matuta isije ikawa ni mtu wa kukosa...
 
Simba katolewa na timu inaitwa mashujaa daraja la kwanza FA cup mapemaaa utalinganisha na ndanda wako TPL? Jiongeze mikia ya mbwa wewe, mshukurini refa kawabeba sana hamjabebeka. Kichapo msituni Congo

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili zenu vyura zishapotelea dimbwini haya mnashangilia dro ya simba na mazembe ina faida gani kwenu?

Hamjui dro yenu na ndanda inafaida kubwa sana kwetu?

[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196] itawachukua miaka 50 kucheza robo fainali club bingwa tasaf fc nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Messi sio mpiga penalty mzuri ameshakosa nyingi sana, na mara nyingi star anayetegemewa huwa anakosa penalty sababu ya kuzidiwa na pressure ya mategemeo ya watu, penalty inahitaji uwe na bottle.., watu kama kina Yaya Toure..., au kwenye game kali star ana uwezekano mkubwa wa kukosa..., Its all about the bottle and nerves of steel.., na siku hiyo umeamkaje kama umeshakosa kosa mabao bora na penalty usipige by the way nipe stats za huyu jamaa na matuta isije ikawa ni mtu wa kukosa...
Jamaa yangu unajichanganya kinoma. Mimi nimekuuliza unahisi siku ile Messi anakosa penati alikosa confidence? Wewe umenambia Messi sio mpigaji mzuri wa penati. Haya kati yangu mimi na wewe nani anastahili kuleta stats?!
 
Back
Top Bottom