Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC na TP Mazembe zatoka sare uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

Kwenye live updates weka ushabiki pembeni, Weka na kikosi cha TP Englebert Mazembe twende sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijapenda timu kuanza bila natural winger labda kama okwi hayuko sawa hua ni threat anapokua uwanjani wapinzani hua wanajua kuna Mtu hatari hivyo wanapomchunga wengine hupata nafasi ya kucheza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uchura,kuwa mzalendo
Hapa wewe ulikuwa mzalendo?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hakuna live link ya kucheki hio match
 
Kila la kheri Simba

BAMUTU BA KONGO BAMEKUJA TENA?........ngoja tuone itakuwaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…