Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Daaah! Sawa Mkuu!Nimekaa jukwaa la Chama huku!Mkuu nipo VIP B huku na wanyama wenzangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah! Sawa Mkuu!Nimekaa jukwaa la Chama huku!Mkuu nipo VIP B huku na wanyama wenzangu
Kwenye live updates weka ushabiki pembeni, Weka na kikosi cha TP Englebert Mazembe twende sawaAfrica nzima inayo hii habari. Timu tishio katika michuano ya Club Bigwa Africa inakutana na timu nzito TP Mazembe,zikiwa ni timu pekee Afrika Mashariki na Kati katika hatua ya robo fainali.
Tulia hapa JF utapata kila kitu katika mtanange huu unaopigwa Uwanja wa Taifa
View attachment 1064060
DUA
Mungu muumba mbingu na ardhi na vyote vilivyomo,tunakunyenyekea utujaalie ushindi mkubwa. Tumekuwa wanyonge muda mrefu tukiamini ipo siku ambayo ni leo utatunyanyua na kuteweka katika kilele.
Mungu Ibariki Simba,Mungu ibariki Tanzania
Simu inagoma,ninakukabidhi kijiti hapa jukwaani tunashangilia mwanzo mwishoKwenye live updates weka ushabiki pembeni, Weka na kikosi cha TP Englebert Mazembe twende sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uchura,kuwa mzalendo
acha ushabiki wewe, Simu imegomaje kweka kikosi cha TP mazembe? mbona cha simba kimekubali au hiyo simu yako ina ushabiki nayo [emoji23][emoji23][emoji23]Simu inagoma ku-upload picha na videos. Moderator tusaidie kuwepa vikosi kwenye main post
Hapa wewe ulikuwa mzalendo?Acha uchura,kuwa mzalendo
Simu inagoma ku-upload picha na videos. Moderator tusaidie kuwepa vikosi kwenye main post
Nimechukua quote ya post #2,hiyo nyingine mmeweka wenyewe. Najaribu ku-upload picha zinagoma
Lengo nahisi kumiliki kati kati eneo la kiungoSijapenda timu kuanza bila natural winger labda kama okwi hayuko sawa hua ni threat anapokua uwanjani wapinzani hua wanajua kuna Mtu hatari hivyo wanapomchunga wengine hupata nafasi ya kucheza
Sent using Jamii Forums mobile app