Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC na TP Mazembe zatoka sare uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

Simba wanashambulia sana,ila wanafanya rough sana.
 
Hawa jamaa wanalazimisha sare au wapunguze idadi ya magoli ili tukienda kwao iwe rahisi.
 
Mkuu umeanzisha Uzi alafu updates Hamna kwanini?? Unaboa Sana kama haukuwa kwenye nafasi nzuri ya kuleta updates ungeacha wengine walete Uzi huu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dak 34
Andadogi 0- 0 TP Mazembe
 
Dk ya 34 bila bila
kagere kapga tick tak ila imegonga mwamba

Voxser empire
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…