Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kila la Kheri la Simba!1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pasi nyingi halafu golini hawafiki...acha wapigwe tu.Simba inacheza mpira mwingi sana!!
Naona baada ya 5+5 simba imebadilika sana lazima ukweli huu usemwe. Lakini pale mbele uzingativu kwa kweli siyo mkubwa sana!Pasi nyingi halafu golini hawafiki...acha wapigwe tu.
Mkuu umeanzisha Uzi alafu updates Hamna kwanini?? Unaboa Sana kama haukuwa kwenye nafasi nzuri ya kuleta updates ungeacha wengine walete Uzi huu!Africa nzima inayo hii habari. Timu tishio katika michuano ya Club Bigwa Africa inakutana na timu nzito TP Mazembe,zikiwa ni timu pekee Afrika Mashariki na Kati katika hatua ya robo fainali.
Tulia hapa JF utapata kila kitu katika mtanange huu unaopigwa Uwanja wa Taifa
View attachment 1064060
DUA
Mungu muumba mbingu na ardhi na vyote vilivyomo,tunakunyenyekea utujaalie ushindi mkubwa. Tumekuwa wanyonge muda mrefu tukiamini ipo siku ambayo ni leo utatunyanyua na kuteweka katika kilele.
Mungu Ibariki Simba,Mungu ibariki Tanzania
Hii ni Big Match ndugu yangu!!Dakika 33 ngoma bila bila.!