Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC na TP Mazembe zatoka sare uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

Siku ya leo ishajionyesha sio nzuri kwa bocco kaisha kosa magoli ya wazi mawili penalti akutakiwa kungangania maana nikujitaftia lawama bora angepiga kagere au nyoni. Mbona samatta ni kepteni ila siku ya mechi ya uganda aliona bora apige nyoni. Ubinafsi wakati mwingine unaponza.
 
Uliona anang'ang'ania kuchukua mpira akapige?
 
Siku ya leo ishajionyesha sio nzuri kwa bocco kaisha kosa magoli ya wazi mawili penalti akutakiwa kungangania maana nikujitaftia lawama bora angepiga kagere au nyoni. Mbona samatta ni kepteni ila siku ya mechi ya uganda aliona bora apige nyoni. Ubinafsi wakati mwingine unaponza.
Jamani huo ndio mpira, msije kumwangushia Boko jumba bovu.!
 
Back
Top Bottom