DATABASEE
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 588
- 585
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa kazingua
Duh! Kavuruga kweli kweliSijawahi kuishiwa nguvu na kujamba mbele za watu ila boko kanifanya nlegee na kujamba mbele za watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi wazee humo hizo ndio dakika zao.!
Uliona anang'ang'ania kuchukua mpira akapige?Siku ya leo ishajionyesha sio nzuri kwa bocco kaisha kosa magoli ya wazi mawili penalti akutakiwa kungangania maana nikujitaftia lawama bora angepiga kagere au nyoni. Mbona samatta ni kepteni ila siku ya mechi ya uganda aliona bora apige nyoni. Ubinafsi wakati mwingine unaponza.
Jamani huo ndio mpira, msije kumwangushia Boko jumba bovu.!Siku ya leo ishajionyesha sio nzuri kwa bocco kaisha kosa magoli ya wazi mawili penalti akutakiwa kungangania maana nikujitaftia lawama bora angepiga kagere au nyoni. Mbona samatta ni kepteni ila siku ya mechi ya uganda aliona bora apige nyoni. Ubinafsi wakati mwingine unaponza.
Mchawi mchawi tu yaan siku zote anapambana kila mtu awe maskini Kama yeye
Sent using Jamii Forums mobile app
Akina Kamusoko na Boban ndio vijanaWengi wazee humo hizo ndio dakika zao.!