Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Wenyewe wanasema wataenda kutoboa Congo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenyewe wanasema wataenda kutoboa Congo.
Umesahau kichapo kutoka kwa Mashujaaa wa Kigoma timu ya ligi daraja la kwanza...Simba katoka droo na timu bora kabisa Afrika! Vyura FC wametoka suruhu na timu bora ya mji wa Ndanda!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah, Simba kutoa sare ni sawa na kupakatwa tu, maana kawaida yake ni kushinda. Watu wa Yanga wanashangilia sare aliyopata Mazembe, kama walivyoshangilia walivyopata sare wao katika mzunguko wa kwanzaSimba kapakatwa?
Leo team wenyeji zitashinda kasoro Simba tu.
Haina shida Mtani. Tulichemsha kwenye hizi mechi za mwisho mwisho hivyo hatuna jinsi.Ninyi tumewaachia FA mhangaike na kina Kamwene.
CAF CL stahili yetu, tutachukua ligi.
😀😀😀 wanajua ni kazi rahisi eti.
Haina shida Mtani. Tulichemsha kwenye hizi mechi za mwisho mwisho hivyo hatuna jinsi.
Nimependa lugha yako ndani ya mjadala..Wengi wa mikia wangekuwa wanatumia lugha kama hizi katika mijadala kusingekuwa na shida...wenzio wanajua lugha za matusi, kejeli na kadhalika...Yaani wanavunja kanuni na sheria za matumizi ya mitandao...pitia baadhi ya comments utagundua ninachozungumza, yaani bila kuweka matusi wanaona hawajaeleweka
Insha Allah. Natumai tutaupata na pia msimu ujao panapo majaliwa huenda tukawa sio sisi tena.Mimi natamani mchukue FA ili tuwe na timu nyingi kwenye mashindano ya Africa.
Msiwe wanyonge wanyonge.
Naona unaongea mwenyewe Mtani. Duuh 🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Jangwani wametepetaKwahyo nani underdog wa ndanda hapo?
kama ulipokea usisite kutoa tena
Mtani tutegemee ushindi wa ngapi mkienda Congo?Jangwani wametepeta
Duh! Constantine imepigwa nyumbani? Kweli hii ni ligi ya mabingwa (⚽) . Hao Horoya kama Mnyama tu.Wanaoidharau Simba ni wadau maandazi wa soka wasiojua uzito na ugumu wa haya mashindano hasa unapokutana na timu kubwa zenye uzoefu na uwekezaji mkubwa kupita hata Zawadi anayopata mshindi. Hongera Simba kwa hatua mliyofikia.
Duh! Constantine imepigwa nyumbani? Kweli hii ni ligi ya mabingwa. Hao Horoya kama Mnyama tu.
Kweli mkuu! Hii inaonyesha ugumu wa hii michuano ya Cacl na hatua aliyofika Simba ni ya kupongezwa si ya kubeza au kukejeli hasa ukilinganisha uzoefu wa washindani wake na uwekezaji wao. Hongereni sana Simba.esperence hata hatua ya makundi.. ndio timu iliyokuwa inashinda away.. na ndie bingwa mtetezi
Ninyi tumewaachia FA mhangaike na kina Kamwene.
CAF CL stahili yetu, tutachukua ligi.
Vyura a.k.a mbute fcVyura [emoji196] [emoji196][emoji196][emoji196] ni kazi yao kupiga kelele
Walioshindwa kushinda kwao ndo hawaendi nusu fainali.
Kwa hiyo kwa mawazo yako akina kamwene siyo watu wa maana au siyo??? Kabla hujapost kitu au jambo tafakari kwanza