Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC na TP Mazembe zatoka sare uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC na TP Mazembe zatoka sare uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

Simba kapakatwa?
Yeah, Simba kutoa sare ni sawa na kupakatwa tu, maana kawaida yake ni kushinda. Watu wa Yanga wanashangilia sare aliyopata Mazembe, kama walivyoshangilia walivyopata sare wao katika mzunguko wa kwanza
 
Leo team wenyeji zitashinda kasoro Simba tu.

Unadhani ni ligi ya kucheza na akina Lipuli hii?!

1064919
 
Nimependa lugha yako ndani ya mjadala..Wengi wa mikia wangekuwa wanatumia lugha kama hizi katika mijadala kusingekuwa na shida...wenzio wanajua lugha za matusi, kejeli na kadhalika...Yaani wanavunja kanuni na sheria za matumizi ya mitandao...pitia baadhi ya comments utagundua ninachozungumza, yaani bila kuweka matusi wanaona hawajaeleweka

Huu ni ugonjwa walionao wengi sana Mkuu.

Wanahitaji kubadilika sababu Mpira si uadui.
 
Unadhani ni ligi ya kucheza na akina Lipuli hii?!

View attachment 1064919
Duh! Constantine imepigwa nyumbani? Kweli hii ni ligi ya mabingwa (⚽) . Hao Horoya kama Mnyama tu.Wanaoidharau Simba ni wadau maandazi wa soka wasiojua uzito na ugumu wa haya mashindano hasa unapokutana na timu kubwa zenye uzoefu na uwekezaji mkubwa kupita hata Zawadi anayopata mshindi. Hongera Simba kwa hatua mliyofikia.
 
Duh! Constantine imepigwa nyumbani? Kweli hii ni ligi ya mabingwa. Hao Horoya kama Mnyama tu.

esperence hata hatua ya makundi.. ndio timu iliyokuwa inashinda away.. na ndie bingwa mtetezi
 
esperence hata hatua ya makundi.. ndio timu iliyokuwa inashinda away.. na ndie bingwa mtetezi
Kweli mkuu! Hii inaonyesha ugumu wa hii michuano ya Cacl na hatua aliyofika Simba ni ya kupongezwa si ya kubeza au kukejeli hasa ukilinganisha uzoefu wa washindani wake na uwekezaji wao. Hongereni sana Simba.
 
Ninyi tumewaachia FA mhangaike na kina Kamwene.

CAF CL stahili yetu, tutachukua ligi.

Kwa hiyo kwa mawazo yako akina kamwene siyo watu wa maana au siyo??? Kabla hujapost kitu au jambo tafakari kwanza
 
Back
Top Bottom