Robo ya mwaka imeisha tayari, umetimiza mikakati gani?

Robo ya mwaka imeisha tayari, umetimiza mikakati gani?

Tulimaliza robo mwaka March, zile resolution zako ulizosema mwanzoni mwa mwaka utafanya hiki na kile, Mpaka sasa umefanya nini?

Umeaccomplish mikakati yako?

Mimi nilisema nitafanya savings, ila kutunza pesa Dar Jamani eeeh?
Mafanikio ya mtu kwamfano uchumi, kipato,pesa,majukumu n.k ni something very personal&private...ni malimbukeni pekee wanao-share mafanikio kwenye social media😂😂
 
Mafanikio ya mtu kwamfano uchumi,kipato ,majukumu ni suala personal&

Mafanikio ya mtu kwamfano uchumi, kipato,pesa,majukumu n.k ni something very personal&private...ni malimbukeni pekee wanao-share mafanikio kwenye social media😂😂

Kwa hio wale billionaires networth zao zipo waziwazi nao malimbukeni, Hio ni pride tu... ni matter of choice.... sio lazima ila kama mtu ameamua kuweka wazi basi Heri kwake
 
Back
Top Bottom