Robo ya mwaka imeisha tayari, umetimiza mikakati gani?

Robo ya mwaka imeisha tayari, umetimiza mikakati gani?

Tulimaliza robo mwaka March, zile resolution zako ulizosema mwanzoni mwa mwaka utafanya hiki na kile, Mpaka sasa umefanya nini?

Umeaccomplish mikakati yako?

Mimi nilisema nitafanya savings, ila kutunza pesa Dar Jamani eeeh?
Namshukuru Mungu malengo kama manne hivi niko nayo sawa πŸ™πŸ“Œ
 
Sina nilicho accomplish

Procrastination na uvivu ndo maadui wangu wakubwa.
Na muomba mungu anisaidie niweze kushinda hili pepo, na wachawi wote wanaoniwangia usiku na mchana nisitoboe.🀣
 
Sina nilicho accomplish

Procrastination na uvivu ndo maadui wangu wakubwa.
Na muomba mungu anisaidie niweze kushinda hili pepo, na wachawi wote wanaoniwangia usiku na mchana nisitoboe.🀣
Haahha acha procrastination has been a new deadly sin
 
Tunaoenda na wakati tu
Upande wangu mambo yako kwenye line, naomba Mungu azidi kunishika mkono siku moja niporomoshe bonge la hotel Dom 🀣
Na sehemu ya kwanza kulipost ni hapa JF na ntaweka wazi mpk uhalisia wangu 😍😍
Siku ukimalize ntakuwa mlinzi getini
 
Haahha acha procrastination has been a new deadly sin
Omg I try so hard to fight it, ila najua kuna mchawi kabisa sio bure, kina nguvu za giza zina ni attack. Mungu anisaidie niweze kulishinda.
Unaamka asubuhi with motivation baada ya breakfast tyr nime log in jf!
 
Hahahaha the devil is at work, anahasira
 
Back
Top Bottom