Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si uje na zenjbaaar huku uwekeze? Huku utapiga pesa mpaka uzikimbie😂😂😂😂 Shem mambo ni moto
Huko sipawezi shem kuna mafogo wengi, mi ndio kwanza najikongoja.!! Ila ntakutafuta unipe fursa za uwekezaji za huko.Si uje na zenjbaaar huku uwekeze? Huku utapiga pesa mpaka uzikimbie
Huku ndo kwenyewe na pesa za kubadili magari utaipata mapema sana. Madoni wa huku wanavaa ndala na vibukta- waitalia. Lijitu linakodi kisiwa miaka mitano linakaa na familia yake tuHuko sipawezi shem kuna mafogo wengi, mi ndio kwanza najikongoja.!! Ila ntakutafuta unipe fursa za uwekezaji za huko.
Shem ntakucheck tuongee kwa kirefu unipe abc za ukoHuku ndo kwenyewe na pesa za kubadili magari utaipata mapema sana. Madoni wa huku wanavaa ndala na vibukta- waitalia. Lijitu linakodi kisiwa miaka mitano linakaa na familia yake tu
Poa ila muhimu ni lazima ujiambie kuwa fursa zipo. Ofkooz Zanzibar zipo nyingi tu! Hata kumiliki kampuni wala sio Kaz kubwa... Kampuni nyingi zinapata pesa nansio competent kihivyo.Shem ntakucheck tuongee kwa kirefu unioe abc za uko
Subiri nije pm hapa jauPoa ila muhimu ni lazima ujiambie kuwa fursa zipo. Ofkooz Zanzibar zipo nyingi tu! Hata kumiliki kampuni wala sio Kaz kubwa... Kampuni nyingi zinapata pesa nansio competent kihivyo.
Zanzibar watu walioishia form four na kupata training za vitendo miez mitatu au sita wakapata kampuni sahihi wanaish vizur kuliko digrii mbili hapo dar!
Ntakua reception uduguu!! [emoji23][emoji23][emoji23]Upande wangu mambo yako kwenye line, naomba Mungu azidi kunishika mkono siku moja niporomoshe bonge la hotel Dom [emoji1787]
Na sehemu ya kwanza kulipost ni hapa JF na ntaweka wazi mpk uhalisia wangu [emoji7][emoji7]
Reception ni mie uduguu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] usijali ntakuweka reception ili uwe unashuhudia pisi kali zikipita usafishe macho!!
✅Subiri nije pm hapa jau
Mungu akuongonzeNimefungua biashara yangu japokuwa naona biashara ngumu najikaza tu mpaka kieleweke
AhsanteMungu akuongonze
Sawa utasaidiana na raraa reree 😂😂😂Ntakua reception uduguu!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Limeisha udugu wangu 😂😂😂😂Reception ni mie uduguu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimetimiza moja kubwa,NIMEOA.Tulimaliza robo mwaka March, zile resolution zako ulizosema mwanzoni mwa mwaka utafanya hiki na kile, Mpaka sasa umefanya nini?
Umeaccomplish mikakati yako?
Mimi nilisema nitafanya savings, ila kutunza pesa Dar Jamani eeeh?
Endelea kufosi,mwaka bado unadaiNilipanga mwaka huu niwe na mtoto
Lakini hata mama ake tu sijampata [emoji41]
Wacha nifocus mwakani [emoji23][emoji119]
Sawa tajiri na iwe hivyo.Upande wangu mambo yako kwenye line, naomba Mungu azidi kunishika mkono siku moja niporomoshe bonge la hotel Dom 🤣
Na sehemu ya kwanza kulipost ni hapa JF na ntaweka wazi mpk uhalisia wangu 😍😍