Robo ya mwaka imeisha tayari, umetimiza mikakati gani?

Tulimaliza robo mwaka March, zile resolution zako ulizosema mwanzoni mwa mwaka utafanya hiki na kile, Mpaka sasa umefanya nini?

Umeaccomplish mikakati yako?

Mimi nilisema nitafanya savings, ila kutunza pesa Dar Jamani eeeh?
Mafanikio ya mtu kwamfano uchumi, kipato,pesa,majukumu n.k ni something very personal&private...ni malimbukeni pekee wanao-share mafanikio kwenye social mediaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mafanikio ya mtu kwamfano uchumi,kipato ,majukumu ni suala personal&

Mafanikio ya mtu kwamfano uchumi, kipato,pesa,majukumu n.k ni something very personal&private...ni malimbukeni pekee wanao-share mafanikio kwenye social mediaπŸ˜‚πŸ˜‚

Kwa hio wale billionaires networth zao zipo waziwazi nao malimbukeni, Hio ni pride tu... ni matter of choice.... sio lazima ila kama mtu ameamua kuweka wazi basi Heri kwake
 
Nilifanikiwa kuanzisha biashara ya kuuza kuku wa kienyeji yenye mtaji wa sh 300k lakini mpaka kufikia wakati huu nimefanikiwa kuwala wote πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…