GTA 6 hata nisipo ipata,
ujue mimi ni moja ya wale tuliocheza SEGA yale ya catridges una connect na tv na gameboy zile kuna catridge za super mario na luigi..
hio gta sa inatoka 2004/2005 nakumbuka nilikuwa nacheza ps1 ile yenye cd , nakumbuka mbali saana kipindi hicho gta sa kwa zile graphics tulikuwa tunaona ni kama maajabu 🙂
kwa kuweka rekodi sawa gta sa ndio game iliyouza zaidi kwenye ps2
naweza sema mimi ni gamer wa kitambo, gamer yeyote wa kitambo huwezi mueleza kitu kuhusu gta sa, gran turismo, final fantasy n.k
madogo wa gta V hawatojua utamu wa kumiliki memory card ya ps, gamer yeyote wa kitambo atakueleza memory card ilikuwa dili saana, yaani unacheza hata mission 20 kwa siku kama hauna MC ujue kesho unarudia, cheat codes unaanika kwenye karatasi, in short nimekumbuka mengi..
sasa hawa gamer wa sasa wataona gta sa ni ujinga kwa sababu wamekuta vitu vimeboreshwa lakini sisi tunajua hio game inakuja na historia ndefu mno