Rockstar games wanazirejesha gta 3, vice city na san andress november hii.

Inaonekana Umefurahii kupata hizo trilogy kuliko GTA6? Hizo trilogy story ni zile zile hamna jipya zaidi ya colour grading.
Rockstar wanaringa sana ukizingatia bado gta 5 inauza. Yaani ilitoka 2013 kwenye ps3, ilivyotoka ps4 wakaiweka pia. kwenye ps5 pia inafanya kazi.

Hata hii trilogy pia itauza sana mkuu gamer wa kitambo wanaielewa sana hasa vice city.
 
mimi naisubiri GTA vice city,hata hivo kuna tetesi kwamba kwenye GTA 6 kutakuwa na uwezo wa kutembelea miji ya vice na los santos kwa njia ya ndege
 
Rockstar wanaringa sana ukizingatia bado gta 5 inauza. Yaani ilitoka 2013 kwenye ps3, ilivyotoka ps4 wakaiweka pia. kwenye ps5 pia inafanya kazi.

Hata hii trilogy pia itauza sana mkuu gamer wa kitambo wanaielewa sana hasa vice city.
kabisa,vice city lazima niwe nayo hiyo
 
The same PC specification mmoja, anaitumia Kama burudani mwengine ni tool ambayo anatamani aipate kwa lengo la kufanya kazi itakayompatia kipato cha kulisha na kusomesha watoto.
umasikini m'baya sana
 
kwa gta sa watakuwa wametisha
 
Rockstar wanaringa sana ukizingatia bado gta 5 inauza. Yaani ilitoka 2013 kwenye ps3, ilivyotoka ps4 wakaiweka pia. kwenye ps5 pia inafanya kazi.

Hata hii trilogy pia itauza sana mkuu gamer wa kitambo wanaielewa sana hasa vice city.
Wana push Gta V online, Gta V mara kwa mara wanalitoa bure.
 
Wewe gamer wa x box nini???

Mimi nlilipenda saaaana nfs hot pirsuit aseee mpaka leo mimi naona ndo the second best game after most wanted
 
Kwema boss,
Mie nataka ninunue game for my kids ila sina ujuzi sana kwenye hili maana mie nilicheza zile need 4 speed za kwy PC.

Nataka zile unit kama ma X Box au PSx sa sijajua ipi nzuri na ntapata games kibao na isitegemee internet connection sana kwa watoto kucheza....

Unaeza nipatia some details ipi bora, nzuri na haizingui na itapendeza kama ni kuagiza ukaniwekea hata ki link. Natanguliza shukran.... kwani naamini wajomba zako wakicheza kwy ile 65" watafurahi sana...ndo maisha haya haya boss.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…