ZA kusuka ndio zina nguvu unless hujui unachofanya.
Mfano cpu zinazoishiwa na K (intel) na cpu zinazoishiwa na X (Amd) huwezi zikuta kwenye machine za dukani, hizo ni mpaka ununue mwenyewe, zina motherboard zake special na unaweza kuzi overclock kuongeza perfomance.
Cpu za kina HP na Dell pamoja na psu na motherboard zao mara nyingi hazina nguvu sana, tunanunua tu sababu bei ni rahisi.