Rocky City Mall Mwanza yageuzwa madarasa ya vyuo

Walengwa, licha ya kujiweza kiuchumi, hawajaona umuhimu wa mall. Maendeleo ya vitu yanapozidi maendeleo ya watu.
 
Bei za pango zinakuwa kubwa hivyo zinapachangia watu kutokukodi maeneo hayo
 
Bei za pango zinakuwa kubwa hivyo zinapachangia watu kutokukodi maeneo hayo
Niliandika hata juzi kwamba Pale stand ya Magufuli ilikuwa haitumiki kwa sababu Bei za pango zilikuwa juu kiasi kwamba wafanyabiashara wakashindwa kupanga na mabasi yakatafuta stand zingine mtaani..

Mara kadhaa wafanyabiashara walilalamika.ila watumishi wasiojielewa walishupaza shingo hadi alipokuja Waziri Bashungwa na kutoa amri ya kushushwa pango,mapato yameongezeka kutoka sh.500,000 kwa siku hadi zaidi ya sh.8,000,000,000(Mil.8) kwa siku..

Hapo ndipo huwa najiuliza kwa nini Serikali inaajiri watu wanaotwa maofisa biashara wajinga wasiomhata na biashara? Hivi haya mambo yanahitaji Waziri au Rais?

Kwa.hiyo.kote huko Nina uhakika kinachokwamisha ni Bei kubwa ya pango,majitu yanaliowaje salary wakati hawazalishi? Rais aliwahi sema watumishi wa Tanzania hawajitambui ni kama mapunda mpaka yasukumwe yenyewe kujiongoza hawawezi..
 
Tena wangepashwa wafanye iwe hostel ata hotel za kulala wageni. Maana sio ubaya wowote. Uwekezaji lazima ulete return.

Uchumi ulizubaa ata tower nyingi na mall nyingi za dar zinahaha kupata wateja.

Pita ile barabara ya AirPort kulikua na mall nyingi sana ila sahivi ni kweupe hakuna mzunguko wala muingiliano wa watu
 
hii habari ya stendi kama ndivyo ilivyo, imekaa vema sana.


Jesus is Savior
 
Yule mzee, aliharibu sana uchumi wa nchi. Mzunguko wa pesa ulistaki, baada ya sekta binafsi kuwa paralysed. I hope hadi mwakani mambo yatakuwa sawia.



Jesus is Lord
 
Ni kweli reak estates business iliyumba sana jamaa angetupeleka pabaya sana
 
Serikalini hakuna wabunifu mkuu
 
Ni kweli lakini hilo halikuwa lengo,uchumi wako ukiyumba hata gari yako ya kutembelea utaigeuza taxi
 
Ile mall imejengwa kwa purpose zote ,,,,,, maduka , ofisi,supermarket ,kumbi za cinema,kumbi za mikutano ,hata chuo wakitaka kupanga ,,ni eneo kubwa na lina space kubwa kuliko mall yoyote Tanzania ...
Usichoelwa wabongo huwa hawaendi kushop floor za juu,its either wana matatizo ya magoti,uvivu,au ni wagonjwa,mlimani city hawakuwa wajinga kuacha kujenga ghorofa,rocky city floor za juu nusu ziko empty
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu hapo Mwanza inataka ifananishwe na Arusha, wasukuma hawapo serious kabisaaa. Lol
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!! Mwanza
Bado sanaaaaa ausio!!
 
Mzee baba unaifahamu Ngurudoto ya Arusha? ilishawahi kuwa hostel za AIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…