Pre GE2025 Roho, damu na manung'uniko ya watu, vitajibiwa kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Watanzania hawaandamani lakini wanamlilia mwenye mamlaka mbinguni na duniani awaadhibu wale wote wanaogiza, kubariki na kutekeleza mauji ya watu wasio na hatia pamoja na ukatili mwingine wowote unaomwaga damu za watu.

Binafsi, naamini kwakuwa wanayafanya haya hasa wakilenga uchaguzi mkuu wa 2025, adhabu ya Mungu(Nature) itawashukia bila kujali vyeo au nyadhifa walizonazo hata ziwe kubwa kiasi gani na wako watakaoondoka duniani kabla ya huo uchaguzi kufanyika na wako wataopata vilema vya kudumu kupitia ajali, n.k na wengine hata kuugua kwa muda mrefu.

Muda utahibitisha/utasema.
 
Ndugu yangu

Hakuna cha adhabu ya Mungu, hii ndio inayosumbua hiki kizazi. Mababu zetu wangebakia na hii mentality ya kusubiri Mungu awalaani wazungu na waarabu basi mpaka leo ingekuwa bado tumefanywa watumwa, wazee wetu wasingechukua hatua dhidi ya wakolini basi mpaka leo tungekuwaa bado tumetawaliwa na wakoloni.

Kizazi chetu kimejaa vijana hawana akili ya kupigania maendeleo yao na ya taifa, eamejaa ulevi, umalaya na ujinga mwingi ingali vijana ndio wanaoweza kubadili msimamo na uelekeo wa taifa letu .
 
Utakuja kuniambia.
 
Niliwahi kusoma kitabu kimoja kuhusu ndugu kuuana
Mungu aliingilia kati akakilaani kizazi kile
Naona ndiyo yanaenda kutokea!!
 
Yule kinara wao anaweza kupigwa kofi 2025 asiwepo au akawa mgonjwa kitandani. Ukatili umezidi mno kwa sasa.
 
Watanzania hawaandamani lakini wanamlilia mwenye mamlaka mbinguni na duniani awaadhibu wale wote wanaogiza, kubariki na kutekeleza mauji ya watu wasio na hatia pamoja na ukatili mwingine wowote unaomwaga damu za watu.

Binafsi, naamini kwakuwa wanayafanya haya hasa wakilenga uchaguzi mkuu wa 2025, adhabu ya Mungu(Nature) itawashukia bila kujali vyeo au nyadhifa walizonazo hata ziwe kubwa kiasi gani na wako watakaoondoka duniani kabla ya huo uchaguzi kufanyika na wako wataopata vilema vya kudumu kupitia ajali, n.k na wengine hata kuugua kwa muda mrefu.

Muda utahibitisha/utasema.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ha ha ha, wajinga ndiyo waliwao, naona mmeamua muanze kuwanga na kuchuria watu,uchuro!, angalieni uchuro huo huo usije uka divert back!
 
Tatizo hamjibangi kwenye chaguzi harafu mnanung'unika tu chadema imebaki na wahuni wachache wanaopiga kelele mitandaoni ila huku mitaani imekufa tena huu mvurugano wa Lisu na mbowe ndo unaiizika moja Kwa moja
 
Watanzania hawaandamani lakini wanamlilia mwenye mamlaka mbinguni na duniani awaadhibu wale wote wanaogiza, kubariki na kutekeleza mauji ya watu wasio na hatia pamoja na ukatili mwingine wowote unaomwaga damu za watu.

Binafsi, naamini kwakuwa wanayafanya haya hasa wakilenga uchaguzi mkuu wa 2025, adhabu ya Mungu(Nature) itawashukia bila kujali vyeo au nyadhifa walizonazo hata ziwe kubwa kiasi gani na wako watakaoondoka duniani kabla ya huo uchaguzi kufanyika na wako wataopata vilema vya kudumu kupitia ajali, n.k na wengine hata kuugua kwa muda mrefu.

Muda utahibitisha/utasema.
ni muhimu wakalia kweli sio kuendekeza mihemko na kuporomosha matusi tu bila mpango...

hamjiandikishi, hampigi kura mwisho wa siku eti mnalia, mnalia nini sasa? huo si unafiki wa kiwango cha zege huo?

na kwa style hiyo hata mjilize au mlie machozi ya mavi, hamna namna mnaweza kuvuruga umoja na mshikamano miongoni mwa waTanzania 🐒
 
Tatizo hamjibangi kwenye chaguzi harafu mnanung'unika tu chadema imebaki na wahuni wachache wanaopiga kelele mitandaoni ila huku mitaani imekufa tena huu mvurugano wa Lisu na mbowe ndo unaiizika moja Kwa moja
Mbona kama una hasira?
 
Usiseme ni Mungu atawajibu, Mungu alikupa akili ya kuwajibu, imeandikwa jino kwa jino. Wakenya wanatumia akili yao bila kumuachia Mungu.
 
Back
Top Bottom