Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Ni swala la muda tu tena mpaka mtawahurumia.Ni kweli. Kanuni za Ulimwengu wa roho zinadai hivyo!
Utakuja kuniambia.Ndugu yangu
Hakuna cha adhabu ya Mungu, hii ndio inayosumbua hiki kizazi. Mababu zetu wangebakia na hii mentality ya kusubiri Mungu awalaani wazungu na waarabu basi mpaka leo ingekuwa bado tumefanywa watumwa, wazee wetu wasingechukua hatua dhidi ya wakolini basi mpaka leo tungekuwaa bado tumetawaliwa na wakoloni.
Kizazi chetu kimejaa vijana hawana akili ya kupigania maendeleo yao na ya taifa, eamejaa ulevi, umalaya na ujinga mwingi ingali vijana ndio wanaoweza kubadili msimamo na uelekeo wa taifa letu .
Yule kinara wao anaweza kupigwa kofi 2025 asiwepo au akawa mgonjwa kitandani. Ukatili umezidi mno kwa sasa.Niliwahi kusoma kitabu kimoja kuhusu ndugu kuuana
Mungu aliingilia kati akakilaani kizazi kile
Naona ndiyo yanaenda kutokea!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Watanzania hawaandamani lakini wanamlilia mwenye mamlaka mbinguni na duniani awaadhibu wale wote wanaogiza, kubariki na kutekeleza mauji ya watu wasio na hatia pamoja na ukatili mwingine wowote unaomwaga damu za watu.
Binafsi, naamini kwakuwa wanayafanya haya hasa wakilenga uchaguzi mkuu wa 2025, adhabu ya Mungu(Nature) itawashukia bila kujali vyeo au nyadhifa walizonazo hata ziwe kubwa kiasi gani na wako watakaoondoka duniani kabla ya huo uchaguzi kufanyika na wako wataopata vilema vya kudumu kupitia ajali, n.k na wengine hata kuugua kwa muda mrefu.
Muda utahibitisha/utasema.
Kuna siku utaelewa ndio ujue kuna nguvu zina-control maisha ya viumbe hai tukiwemo wanadamu.Ha ha ha, wajinga ndiyo waliwao, naona mmeamua muanze kuwanga na kuchuria watu.
Tatizo hamjibangi kwenye chaguzi harafu mnanung'unika tu chadema imebaki na wahuni wachache wanaopiga kelele mitandaoni ila huku mitaani imekufa tena huu mvurugano wa Lisu na mbowe ndo unaiizika moja Kwa mojaAmen
ni muhimu wakalia kweli sio kuendekeza mihemko na kuporomosha matusi tu bila mpango...Watanzania hawaandamani lakini wanamlilia mwenye mamlaka mbinguni na duniani awaadhibu wale wote wanaogiza, kubariki na kutekeleza mauji ya watu wasio na hatia pamoja na ukatili mwingine wowote unaomwaga damu za watu.
Binafsi, naamini kwakuwa wanayafanya haya hasa wakilenga uchaguzi mkuu wa 2025, adhabu ya Mungu(Nature) itawashukia bila kujali vyeo au nyadhifa walizonazo hata ziwe kubwa kiasi gani na wako watakaoondoka duniani kabla ya huo uchaguzi kufanyika na wako wataopata vilema vya kudumu kupitia ajali, n.k na wengine hata kuugua kwa muda mrefu.
Muda utahibitisha/utasema.
Mbona kama una hasira?Tatizo hamjibangi kwenye chaguzi harafu mnanung'unika tu chadema imebaki na wahuni wachache wanaopiga kelele mitandaoni ila huku mitaani imekufa tena huu mvurugano wa Lisu na mbowe ndo unaiizika moja Kwa moja
Tatizo serekali ni congregation ya watu zaidi ya 500.......note this!, Rais ni msemaji tu, au mwakilisha hoja!Kuna siku utaelewa ndio ujue kuna nguvu zina-control maisha ya viumbe hai tukiwemo wanadamu.
Jiwe alichuriwa haya endeleeni kujifarijiHa ha ha, wajinga ndiyo waliwao, naona mmeamua muanze kuwanga na kuchuria watu,uchuro!, angalieni uchuro huo huo usije uka divert back!