Pre GE2025 Roho, damu na manung'uniko ya watu, vitajibiwa kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Maneno ya kujifariji haya, Watanzania sisi ni Maiti, na nakubaliana na Jomo Kenyata kwa asilimia zote, tuendelee kujifariji kwenye mitandao ya kijamii
 
Neno linaposema "Mtu akichukua mateka, atachukuliwa mateka. Mtu akiua kwa upanga, atauawa kwa upanga. Hapa ndipo penye subira na imani ya watakatifu"
Ufu 13:10
Je ni kweli kiasi gani?
Rais wa Marekani Bush mkubwa alisababisha mauaji mengi wakati wa utawala wake sehemu kadhaa duniani lkn alikuja kufa kifo cha kawaida, George Bush mtoto kasababisha mauaji Iraq, Afghanistan nk kwenye utawala wake lkn anadunda hadi leo hii,
Je andiko hilo lina ukweli kiasi gani?
 
Na iwe hivyo na ianze na yeye mwenyew anayewatuma
 
Inshallah na iwe hivyo kama ilivyokuwa kwa mwendaze harakaharaka tena bila kutarajia.
 
NAMI naunga mkono pia historia ya march 17 2021 inaonyesha hivyo

Karma is real
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…