Roho inaniuma mpenzi wangu anataka tuachane kwa sababu hayaelewi maisha yangu

Mruhusu aende zake kishakuvumilia vya kutosha. Ni bora kuachana kwa amani kuliko kwa shari. Muombee kila la heri na baraka katika maisha yake.

 
Endelea na maisha yako. Futa number yake. Mtie block social media. Unajiitaje msela alafu una roho ndogo namna hii mkuu?
 
Hata mitetea inapenda kukaa na yule jogoo mbabe kuliko wote.
 
Kwa hiyo unapenda kuachana kwa shari ili kujenga uadui?
Halafu hiyo sijawahi kuwa na uadui na ex-wangu!! Hata ikitokea tuliachana katika mazingira ya kununiana, LAZIMA nitafuta namna ya kusawazisha mambo bila kujali nani tatizo ili mradi tu finally tuwe apart in peace!!!

Infantry Soldier, grow up man! You don't need to make your ex one of your "enemies"!
 
Endelea na maisha yako. Futa number yake. Mtie block social media. Unajiitaje msela alafu una roho ndogo namna hii mkuu?
Hapo kwenye RED ni kwa watu ambao they can't handle and manage their social lives on their own, na hivyo mnatafuta external backup!

Unajua, unapoachana nae it means unatakiwa kukata mawasiliano nae, lakini kwavile ni Kisebusebu na Kiroho Papo, mnajua it's a matter of time kabla hujatamani kumpigia... kwa sababu umejifanya kuacha wakati bado unapenda!!!

Na kwavile unajua utatamani tu kumpigia, huku ukitaka kujidanganya na kumuonesha "ume-move on", ndo hapo unaamua kufuta contacts zake ili hata siku ukitaka kumpigia, basi usiweze kumpigia!

Yaani huna ubavu wa wewe mwenyewe kuamua kwamba "we're done" na kwahiyo unatafuta external force ya kukusaidia!!

Ndo pale unafuta contacts zake huku ukikaa mkao wa kula kusubiria angalau aku-beep... unakuta na mwenyewe amekukazia!! Yaani unafuta contacts zake huku ukitamani yeye asifanye hivyo!!

Man, kama huwezi kuacha, basi usiache kabisa or else learn how to manage separation bila ya kuhangaika kufuta contacts coz' you never know; unaweza kufika wakati wa kuhitaji kuwasialiana nae hata kwa mambo mengine!!

Hayo mambo ya kufuta contacts jifunze kuwaachia dada zetu kwa sababu kwa kawaida wao hufanya mambo kwa mihemuko!!
 
Duuuh
 
Utakuwa na maadui wangapi dunia hii Mkuu? Mie ni chakaram naweza nikasema kitu kisha nikajuta kwanini nilisema vile. Hivyo huwa nauchunga sana mdomo wangu na wakati mwingine huamua kukaa kimya tu ili kuepuka majuto.


 
Man, kama huwezi kuacha, basi usiache kabisa or else learn how to manage separation bila ya kuhangaika kufuta contacts coz' you never know; unaweza kufika wakati wa kuhitaji kuwasialiana nae hata kwa mambo mengine!!
Kwangu mimi ni never. Nikiachana na mpenzi wangu, that is a one way ticket, I will never look back.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…