Roho inaniuma WIRE TURN haifanyi kazi tena

Roho inaniuma WIRE TURN haifanyi kazi tena

Yani roho inaniuma sana tangu wiki iliyopita napata shida ya kuingia mtandaoni bure dah!. Nilikuwa nimeshazoea mseleleko japo internet yenyewe ilikuwa mwendo wa Kobe lkn ilinisevu sana kuingia bure YouTube, JF na Instagram tangu 2021.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kila kitu kina mwisho wake maisha hayawezi kuwa mseleleko milele
 
Back
Top Bottom