Roho inaniuma WIRE TURN haifanyi kazi tena

Roho inaniuma WIRE TURN haifanyi kazi tena

Yani roho inaniuma sana tangu wiki iliyopita napata shida ya kuingia mtandaoni bure dah!. Nilikuwa nimeshazoea mseleleko japo internet yenyewe ilikuwa mwendo wa Kobe lkn ilinisevu sana kuingia bure YouTube, JF na Instagram tangu 2021.
Mbona mimi na serereka tu na 4g speed kali bila ya kutumia pesa yangu mfukoni
 
nilishangaa,...malawi kwa airtel 2000 ya bongo unapata gb3 kwa wiki,....

kwa TNM unapata gb4 kwa buku ndani ya masaa manne,....na ni 4G ya uhakika
Adui mkubwa wa tanzania mmojawapo ni huyu ROSTAM AZIZI...sema watz wengi mmelala usingizi wa phonograph
 
nilishangaa,...malawi kwa airtel 2000 ya bongo unapata gb3 kwa wiki,....

kwa TNM unapata gb4 kwa buku ndani ya masaa manne,....na ni 4G ya uhakika
Hapa bongo serikali inahusuka asilimia 100 kufanya uhuni wa matumizi ya bando kwa mtanzania haiwezekani buku uuze mb 490 😂😁
 
😂😁 Tunashindwa hadi na burundi
ROSTAM AZIZI NA GENGE LAKE LA RAIA FEKI WAMEKATAZA KATAKATA SERIKALI KUPUNGUZA BEI YA UMEME KWA ASILIMIA 50% KAMA ALIYO PANGA JPM KUWA BWAWA LIKIKAMILIKA UMEME HUSHWE BEI UNIT 5 ZA UMEME TUUZIWE KWA SH 1000 TU... LENGO LA MAGUFULI LILIKUWA KUPAMBANA NA MAFISADI WA GESI MAANA BEI YA UMEME INGESHUSHWA KWA KIMO HICHO MOJA KWA MOJA MAFISADI WA GESI KINA ROSTAM AZIZI WANGESHUSHA BEI YA GESI KWA NUSU....
 
Back
Top Bottom