Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii unaiungaje mkuuHttps mbona inafanya kazi mkuu
Kama mimi tu,hesabu muhimuNimeshapoa wakuu ila Kwasasa naunga bando la buku baada ya hapo nalitumia kwa mahesabu makali sana.
kwa mtandao ganiKwamba kwako 15K Kwa 18GB ni tatizo Hadi ulilie vya Bure!?
Sasa dada yatakusaidia nini wakati washayafungaUnatumia je VPN kupata free internet nilisha jaribu nikashindwa naomba darasa
Br Amos Aitel😂Kwamba kwako 15K Kwa 18GB ni tatizo Hadi ulilie vya Bure!?
Sema zimeshafungwa lakini hazikuwa na ugumu wowote ule ila nikipata chimbo jipya nitakushtua nikupe maelezo jinsi ya kutumia ila zinahitaji uvumilivu kwasababu huwa spidi yake ni mwendo wa Kobe.Unatumia je VPN kupata free internet nilisha jaribu nikashindwa naomba darasa
😂Pole sana mkuu , karibu Tigo postpaid bundle huduma baada ya malipo 15GB kwa elfu 15 tu!Yani roho inaniuma sana tangu wiki iliyopita napata shida ya kuingia mtandaoni bure dah!. Nilikuwa nimeshazoea mseleleko japo internet yenyewe ilikuwa mwendo wa Kobe lkn ilinisevu sana kuingia bure YouTube, JF na Instagram tangu 2021.
hatakama kwan kuna ubaya nami nikajifunza hako kambinu ipo siku zitakuwa free tenaSasa dada yatakusaidia nini wakati washayafunga
Yani natafuta mtaji kwa kazi ngumu halafu wakati huohuo niunge bando la Elfu 15 kwa mwezi mkuu... Binafsi kwa upande wangu ni jambo ambalo haliwezekani.Kwamba kwako 15K Kwa 18GB ni tatizo Hadi ulilie vya Bure!?
😂😂hatakama kwan kuna ubaya nami nikajifunza hako kambinu ipo siku zitakuwa free tena
😂... Umeshapitwa ndugu...wameblock kila mahali ila ttcl kuna vpn Moja tu ndy inapiga kaziUnatumia je VPN kupata free internet nilisha jaribu nikashindwa naomba darasa
UPD zote zimefungwa nasikia tigo imebadilisha masafa ya mtandao kulingana na Sheria zake mpya Kuna wabongo ma snitch walituvutia wengne waya Kisha wakatuzunguka😂... Umeshapitwa ndugu...wameblock kila mahali ila ttcl kuna vpn Moja tu ndy inapiga kazi
VizuriNimeshapoa wakuu ila Kwasasa naunga bando la buku baada ya hapo nalitumia kwa mahesabu makali sana.
Ipo playstoreHii unaiungaje mkuu
Burundi Kuna vifurushi vya usiku unlimited bongo hakunakwa walioko mipakani wengi wanatumia laini za nchi za nje,...huko kuna unafuu mkubwa,....
nilishangaa,...malawi kwa airtel 2000 ya bongo unapata gb3 kwa wiki,....Burundi Kuna vifurushi vya usiku unlimited bongo hakuna