Roho inaniuma WIRE TURN haifanyi kazi tena

Unatumia je VPN kupata free internet nilisha jaribu nikashindwa naomba darasa
Sema zimeshafungwa lakini hazikuwa na ugumu wowote ule ila nikipata chimbo jipya nitakushtua nikupe maelezo jinsi ya kutumia ila zinahitaji uvumilivu kwasababu huwa spidi yake ni mwendo wa Kobe.
 
Yani roho inaniuma sana tangu wiki iliyopita napata shida ya kuingia mtandaoni bure dah!. Nilikuwa nimeshazoea mseleleko japo internet yenyewe ilikuwa mwendo wa Kobe lkn ilinisevu sana kuingia bure YouTube, JF na Instagram tangu 2021.
πŸ˜‚Pole sana mkuu , karibu Tigo postpaid bundle huduma baada ya malipo 15GB kwa elfu 15 tu!
 
πŸ˜‚... Umeshapitwa ndugu...wameblock kila mahali ila ttcl kuna vpn Moja tu ndy inapiga kazi
UPD zote zimefungwa nasikia tigo imebadilisha masafa ya mtandao kulingana na Sheria zake mpya Kuna wabongo ma snitch walituvutia wengne waya Kisha wakatuzunguka
 
kwa walioko mipakani wengi wanatumia laini za nchi za nje,...huko kuna unafuu mkubwa,....
 
Burundi Kuna vifurushi vya usiku unlimited bongo hakuna
nilishangaa,...malawi kwa airtel 2000 ya bongo unapata gb3 kwa wiki,....

kwa TNM unapata gb4 kwa buku ndani ya masaa manne,....na ni 4G ya uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…