Setting zake mkuu au hutaki wengine tujueIpo playstore
Mbona mimi na serereka tu na 4g speed kali bila ya kutumia pesa yangu mfukoniYani roho inaniuma sana tangu wiki iliyopita napata shida ya kuingia mtandaoni bure dah!. Nilikuwa nimeshazoea mseleleko japo internet yenyewe ilikuwa mwendo wa Kobe lkn ilinisevu sana kuingia bure YouTube, JF na Instagram tangu 2021.
Adui mkubwa wa tanzania mmojawapo ni huyu ROSTAM AZIZI...sema watz wengi mmelala usingizi wa phonographnilishangaa,...malawi kwa airtel 2000 ya bongo unapata gb3 kwa wiki,....
kwa TNM unapata gb4 kwa buku ndani ya masaa manne,....na ni 4G ya uhakika
Hapa bongo serikali inahusuka asilimia 100 kufanya uhuni wa matumizi ya bando kwa mtanzania haiwezekani buku uuze mb 490 ππnilishangaa,...malawi kwa airtel 2000 ya bongo unapata gb3 kwa wiki,....
kwa TNM unapata gb4 kwa buku ndani ya masaa manne,....na ni 4G ya uhakika
Ina work kwa Airtel tu ni slow dns Haina maisha achana nayo tumia unlimited mkuuSetting zake mkuu au hutaki wengine tujue
Ccm ni ππ©π©π©Hapa bongo serikali inahusuka asilimia 100 kufanya uhuni wa matumizi ya bando kwa mtanzania haiwezekani buku uuze mb 490 ππ
ππ Tunashindwa hadi na burundiCcm ni ππ©π©π©
Kampuni gani kwanini hayo mabando yamefichwa mengine hadi utumie dalali akuunganishe ....sasa hivi hata kufanya phone app gredi imekuwa tabu gb2 unaweza kuuziwa sh 5000Kwamba kwako 15K Kwa 18GB ni tatizo Hadi ulilie vya Bure!?
ROSTAM AZIZI NA GENGE LAKE LA RAIA FEKI WAMEKATAZA KATAKATA SERIKALI KUPUNGUZA BEI YA UMEME KWA ASILIMIA 50% KAMA ALIYO PANGA JPM KUWA BWAWA LIKIKAMILIKA UMEME HUSHWE BEI UNIT 5 ZA UMEME TUUZIWE KWA SH 1000 TU... LENGO LA MAGUFULI LILIKUWA KUPAMBANA NA MAFISADI WA GESI MAANA BEI YA UMEME INGESHUSHWA KWA KIMO HICHO MOJA KWA MOJA MAFISADI WA GESI KINA ROSTAM AZIZI WANGESHUSHA BEI YA GESI KWA NUSU....ππ Tunashindwa hadi na burundi